Ni nini sababu na suluhisho kwa wachagga kuwa na meno yenye rangi ya manjano/kahawia?

Ni nini sababu na suluhisho kwa wachagga kuwa na meno yenye rangi ya manjano/kahawia?

Tatizo ni maji kuwa na fluorine nyingi ndicho kinafanya meno kuwa na rangi.maeneo mengine ni singida na baadhi ya maeneo ya dodoma pia wameathirika na wingi wa madin hayo katika maji
 
Hhaa hao uliowaona walikua wazee au vijana tuanzie hapo
Wachagga wa umri tofauti na ukitaka kuamini zaidi nenda tu kibosho,kwanza kuanzia kibosho road wanapotawanya ulezi wa mbege then nenda huko vijijini ukajionee na hata huru.
 
Wachagga wa umri tofauti na ukitaka kuamini zaidi nenda tu kibosho,kwanza kuanzia kibosho road wanapotawanya ulezi wa mbege then nenda huko vijijini ukajionee na hata huru.
Siyo huru bana ni Uru
Hao uliokutana nao naamini kwa asilimia kubwa walikua ni wazee ila kwa vijana wengi wao hawana meno hayo mfano mdogo mimi nimeishi na kusoma moshi but sina hata jino moja lenye rangi ya njano
Na kwa saiv mji wa moshi wanapata maji safi ya kabisa tena matamu sana
Sehem iliyobaki na shida kidogo ni maeneo ya arusha tena baadhi
Btw mie siyo mchaga but haipendezi kusakama makabila ya watu siyo jambo jema mtachochea ukabila kwa maneno yenu hayoo
 
Mkuu umesoma mada yangu na kujua lengo? Ni wapi nimewasakama zaidi ya kuuliza source ya tatizo na solution?
 
Duu Wachaga tena..watani zangu kazi wanayo...sijawahi kuona inaisha wiki bila kuwa na post at least 3 zinazowahusu nyingi zikiwasema vibaya lakini ukweli mchungu ni kwamba ndio wameikamata nchi kupitia organ zote muhimu
 
hiyo rangi mkubwa siyo NJANO bali ni "GOLD" (Dhahabu)! Waombe radhi Wachaga

Mkuu umesoma mada yangu na kujua lengo? Ni wapi nimewasakama zaidi ya kuuliza source ya tatizo na solution?
 
Duu Wachaga tena..watani zangu kazi wanayo...sijawahi kuona inaisha wiki bila kuwa na post at least 3 zinazowahusu nyingi zikiwasema vibaya lakini ukweli mchungu ni kwamba ndio wameikamata nchi kupitia organ zote muhimu
Hao wanaoandika za kutusema vibaya ni kwamba wanatuonea gere mtani,wanatamani kasi yetu ila husda haiwaachi.
 
Habarini Wadau,

Nimewahi kufika na kukaa kwa muda katika maeneo ya kibosho na huru kilimanjaro kwasababu za kikazi,nimeona asilimia kubwa ya wenyeji wa huko wana meno yenye rangi yaani isiyokuwa myeupe pee,na wengine meno yao yana utando mweusi.

Nimesikia mara kwa mara kuwa sababu ni wingi wa flouride katika maji wanayotumia,ila hata kuwa na utando mweusi ni sababu ya flouride au kuna sababu nyingine?

Pia ni nini suluhisho kwao waliokuwa tayari wana meno ya hivyo ukubwani?

Nawasilisha.
Watu wa kilimanjaro hawana meno yenye rangi. Labda wale wa wilaya ya Hai na Siha kwa baadhi ya sehemu. Waathirika wakuu wa meno yenye rangi ni R Chuga. Mtu ambae kazaliwa kule au kaishi kwa muda mrefu lazma meno yawe na rangi ile.
Hao wakibosho uliowaona wewe watakuwa wameishi maeneo tajwa hapo juu.. Maji mengi sana ya Kilimanjaro hayana fluoride nyingi kiivyo. Ni kutojua tu ndo kunawasumbua wengi na kuwasingizia wachagga mambo kama hayo yasiyo ya kweli.
NB. Mimi SI mchagga
 
Duu Wachaga tena..watani zangu kazi wanayo...sijawahi kuona inaisha wiki bila kuwa na post at least 3 zinazowahusu nyingi zikiwasema vibaya lakini ukweli mchungu ni kwamba ndio wameikamata nchi kupitia organ zote muhimu

Jifunze kujadili kilichowekwa mezani. Sio chuki wala wivu, mleta mada hakuwa na nia mbaya kutaka kulijua hili. Hata mimi nimewahi kujiuliza ni kwa nini Wachagga wengi meno yao yanaonekana kama yameoza, tatizo ni kuendekeza uchafu kwa kutokupiga mswaki au tatizo nini? Ni rahisi sana kumjibu mtu kama unajua unamueleza kwamba tatizo lao linasababishwa na kadha wa kadha sio kuleta vijembe. Sasa kama Wachagga tunaishi nao na wanaonekana wanameno yaliyooza unataka watu wasihoji?
 
Jino moja mswaki wa nini tehe tehe tehe, meno ya njano ndugu zangu mnashabikia Yanga?
 
Si wachaga tu, hili tatizo nimeliona sana A town (rangi flani ya njano). Mwenyewe ni mwathirika kwa kiasi fulani. Machalii wengi waliokulia Kaloleni, Makao mapya, Sakina, Kijenge, Sanawari, tuna hili tatizo. Si uchafu, and it doesn't take away anything.

Binafsi, I get around pretty cool with my 'golden grills'. Not smiley perfect, but my smile score me excess.
 
Ni wachaga au wameru? Nadhani mleta mada anafaninisha waaarusha, wamasai, na wameru.
 
wachaga wenye njiks kama wameng'ata ViMa watakuwa wachafu tu, mbona mi beibe wangu wa kichaga nimkare tu
hajaoza meno na kakulia Moshi, na Arusha
 
Kuna dem mmoja yupo hotel flan ipo sinza kajaaliwa shepu sura ila ana "Meno pilau " .
 
Mkuu tatizo ni fluoride iliyo zidi kwenye maji tangu mtu akiwa tumboni mwa mamake (reffer embryology - teeth formation).kwa sababu ya wingi wa fluoride, itakuwa incorporated badala ya calcium, na kutengeneza fluoroxyapetite ambayo ni brown, badala ya hydroxyapatite ambayo ni nyeupe. Tatizo hilo halikomei kwenye meno tu bali na mifupa itayotengenezwa kipindi unapo kuwa exposed kwenye fluoride, meno na mifupa vilivyo athirika hubadilika rangi na kuwa brown na huwa brittle pia. Tatizo la fluoride iliyo zidi si la wana Arusha tu bali na wale wa singida, tabora/Igunga, shinyanga /kishapu, meatu, Simiyu,Mbeya maeneo ya Mbalizi. Kuzuia tatizo hilo ni kuepuka matumizi ya maji yenye fluoride iliyo zidi tangu mimba ya week 5, kuondoa fluoride iliyo zidi kwenye maji (defluoridatio). Kwa walio athirika tayari kuna huduma za dental bleaching and veneering through dental services. Karibuni kwa maswali zaidi....
 
Back
Top Bottom