Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio waoza meno ni wenye meno ya rangi. Kuna tofauti kati ya kuoza meno na kupata rangi za manjano.Inaonekana ww ni raia wa Brazil mambo ya kaskazini huyajui yaani hadi Tanga wamejaa waoza meno??? Hapana mkuu waoza meno hata siku moja huwez kuwakuta ukanda wa pwani na ikitokea yupo bas ni vizazi vya moshi /arusha.Nenda tanga afu njoo uandike
Wanaowasema wachaga hapa n wivu tu unawasumbua.Duu Wachaga tena..watani zangu kazi wanayo...sijawahi kuona inaisha wiki bila kuwa na post at least 3 zinazowahusu nyingi zikiwasema vibaya lakini ukweli mchungu ni kwamba ndio wameikamata nchi kupitia organ zote muhimu
Nadhani ni Frolide sio calcium
Sio wote wezi........na kuhusu shape kwani hiyo CAPITAL P sio shape?Wachaga wezi sana sioi mwanamke wa kichaga mimi alafu hawana shape
Wachaga wezi sana sioi mwanamke wa kichaga mimi alafu hawana shape
Usiseme vitu usivyovijua kiongozi. Ukisema kuanzia Tanga hadi Manyara unakuwa muongo, tena muongo mkubwa wewe.
Ni wakazi wa kuzunguka Ml. Kilimanjaro na Ml. Meru ndio wana meno yenye rangi. Siku nyingine jifunze ndio uongee.
Hahahaaa..!Maji yana calcium iliyoZidi,sasa suluhishi ni wao wahamie Kenya,mkoa uwe mbuga ya wanyama
Acha uongo...nimeishi Kibosho na Huru watu wana meno ya manjano haswa hata wameru,mbona wamasai wana meno meupe pee?Kiukweli mimi nimeishi moshi tangu utotoni mpaka kuwa mkubwa kwa watu walituzunguka walikua na meno meupee na maji ya moshi ni matamu asee asikuambie mtu nimetembea mikoa mingine sijaona maji mazuri kama ya moshi
Huyu mleta mada unashindwa kutofautisha na watu wa arusha ambao maji yao kama magadi hivi
Hhaa hao uliowaona walikua wazee au vijana tuanzie hapoAcha uongo...nimeishi Kibosho na Huru watu wana meno ya manjano haswa hata wameru,mbona wamasai wana meno meupe pee?