Ni nini shida ya mwanangu kwenye uume wake?

Marealle

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
14
Reaction score
13
Tatizo hili limemtokea ana wiki ya pili sasa, nilimpeleka hospitali akapata matibabu jumamosi kwa Dkt. bingwa wa watoto lakini naona bado hakuna nafuu, Dkt. alimpa dawa za kupaka za mwezi mzima na dawa ya kumeza ya siku tano.

Naomba wataalamu mnisaidie. Sehemu anayoumwa na dawa naziambatanisha hapa ili muone na mnishauri.




.
 
Inaonekana huyu mtoto, usafi ni changamoto kidogo...

Rudi Kwa mtaalamu, ila jitahidi kuepukaa na ishu za mtoto kukaa na nguo za mkojo muda mrefu pia... Tujitahidi watoto wawe wakavu sehemu zao za pubic ikiwezekana
 
Dahhh!! Inaumiza sana mtoto bado mdogo sana kukutana nahayoaswaibu!

Mpeleke Hospitali nyingine umtibu haraka huyo malaika!
 
Mnakosea sana kutahili vitoto vidogo,acheni mzigo ukue akikaribia balehe ndio atahiliwe.

Btw pole nenda ospitali nyingine.
Acha uongo wakwangu nimemtahiri akiwa na 5 lkn mzigo wake upo heavy, na kwa jinsi anavyokuja kwa kasi nahisi anakuja kunipita na kama angekuwa states bazzers wangemuwekea booking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…