Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
The underlying cause: kutahiriwa, mtu aliyemtahiri alikata uume ngozi ya juu akapitia na vinyams vya pembeni, lakini tatizo ukawa umechelewa kuliona, au ni bacteria walishambulia aina ya mycobacterium necrofruntensis, au bacteroides... Mpeleke hospital kubwa kwa ushauri na matibabu.