Ni nini siri ya tarehe 26?

Just a coincidence, you are refering back to January 26, 1700 (More than 300 years), remember we have twelve 26th days in a year(12*300). Besides, I was born on 26th, but I am not part of it. Hahahaha
 
Hakuna chochote bana.

Au na wewe umekuwa muumini wa conspiracy theories?

Napenda kujifunza zaidi na kuongea maarifa. Kule google nimesoma nimeona kuna ukweli fulani, kama unajua lolote tupanuane uelewa.
 
Nimebaki nashangaa tu,kwa nini yote hayo matukio yatokee tarehe iliyofanana?!!
 
Nimebaki nashangaa tu,kwa nini yote hayo matukio yatokee tarehe iliyofanana?!!

Ndugu zangu, hamna cha maana hapo! Namba 26 ni sawa na namba zingine. Hebu elewa kwanza mambo haya kwa vile mleta hoja amejikita kwenye ushahidi wa matetemeko na volkano duniani.

1. Kila sekunde, na kila dakika, maana yake, kila siku kuna tetemeko! Labda atueleze tetemeko la ukubwa gani ndo linajitokeza kwa tarehe hiyo!

2. Kila siku kuna volakano, yaweza kuwa mfano wa gesi tu zinazofuka toka kwenye chanzo cha volkano au mawe na miali ya moto; walao kila siku kuna tukio la hivyo!

Halafu, je, ulisoma hesabu za PROBABILITY? Kama ulisoma au unazifahamu, hakuna cha kushangaza hata kama tarehe 26 ingejikuta ndani ya hiyo miaka 300 inakuwa inajirudia kuliko tarehe zingine!

We can
 

We can... but You in particular CANNOT.

Probability same number for all those events? Ahh wapi...

Besides... kama unataka details zaidi mkuu instead of shooting down the facts you can try to google them... utapata hizo details uzitakazo.
Dont worry... when somebody farts... we wont say its a volcanic eruption.

Comprende?
 

kulingana na maelezo ya nyota siku ya ijumaa ndio siku yangu ya bahati
 
Tuwekee na matetemeko mengine yaliyotokea nje ya tarehe 26... tupime uwiano usikute ni asilimia ndogo ya matokeo
 

eee bwana umesahau ata muungano nao ni 26
 


Daaah!! Nimezaliwa tarehe 13 ndugu yangu. Mbona wanitisha, unadhani tarehe inaweza kuniathiri na lolote??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…