Ni nini siri ya tarehe 26?

Ni nini siri ya tarehe 26?

Just a coincidence, you are refering back to January 26, 1700 (More than 300 years), remember we have twelve 26th days in a year(12*300). Besides, I was born on 26th, but I am not part of it. Hahahaha
 
Nimebaki nashangaa tu,kwa nini yote hayo matukio yatokee tarehe iliyofanana?!!
 
Nimebaki nashangaa tu,kwa nini yote hayo matukio yatokee tarehe iliyofanana?!!

Ndugu zangu, hamna cha maana hapo! Namba 26 ni sawa na namba zingine. Hebu elewa kwanza mambo haya kwa vile mleta hoja amejikita kwenye ushahidi wa matetemeko na volkano duniani.

1. Kila sekunde, na kila dakika, maana yake, kila siku kuna tetemeko! Labda atueleze tetemeko la ukubwa gani ndo linajitokeza kwa tarehe hiyo!

2. Kila siku kuna volakano, yaweza kuwa mfano wa gesi tu zinazofuka toka kwenye chanzo cha volkano au mawe na miali ya moto; walao kila siku kuna tukio la hivyo!

Halafu, je, ulisoma hesabu za PROBABILITY? Kama ulisoma au unazifahamu, hakuna cha kushangaza hata kama tarehe 26 ingejikuta ndani ya hiyo miaka 300 inakuwa inajirudia kuliko tarehe zingine!

We can
 
We can... but You in particular CANNOT.

Probability same number for all those events? Ahh wapi...

Besides... kama unataka details zaidi mkuu instead of shooting down the facts you can try to google them... utapata hizo details uzitakazo.
Dont worry... when somebody farts... we wont say its a volcanic eruption.

Comprende?
 
Mkuu Namba 13 ni namba ya mikosi na maajabu,na kwa muda mrefu nchi nyingi duniani hata kwenye vyumba vya wageni na hata seat za gari na ndege wanaweka namba 1,2,3... na kuendelea ila wanaivuka namba 13 kwani watu wengi hawakai hapo

Pia tarehe 13 ya ijumaa (na mara nyingi trh 13 yaangukia ijumaa) inajulikana kuwa ni siku mbaya yenye mikosi.

kulingana na maelezo ya nyota siku ya ijumaa ndio siku yangu ya bahati
 
Tuwekee na matetemeko mengine yaliyotokea nje ya tarehe 26... tupime uwiano usikute ni asilimia ndogo ya matokeo
 
Is it a mere Coincidence or A Timely Reminder From God..Need to Think on it Seriously!!!

The Rhodes earthquake 26 June 1926

North America earthquake 26 Jan 1700

Yugoslavia earthquake 26 July 1963

Merapi volcanic eruption 26 Oct 2010

Bam , Iran earthquake 26
Dec 2003 ( 60,000 dead )

Sabah Tidal waves 26 Dec
1996 ( 1,000 dead )

Turkey earthquke 26 Dec
1939 ( 41,000 dead )

Kansu , China earthquake 26 Dec 1932 ( 70,000 dead )

Portugal earthquake 26 Jan 1951 ( 30,000 dead )

Krakatau volcanic eruption 26 Aug 1883 ( 36,000 dead )

Aceh Tsunami 26 Dec 2004

Tasik earthquake 26
June 2010

China Earthquake 26 July 1976

Taiwan earthquake 26 July 2010

Japan Earthquake 26 feb 2010

Mentawai Tsunami 26 October 2010

Gujarat Earthquake 26 Jan 2001.

China Earthquake 26 July 1976

Taiwan earthquake 26 July 2010

Japan Earthquake 26 feb 2010

Mumbai attack 26/11

Mumbai floods 26 July 2005

Now Nepal earthquake 26 April 2015.

Why is it Always "26" ?
Is it just a Coincidence?

This news is Amazing! And scary too!

eee bwana umesahau ata muungano nao ni 26
 
Mkuu Namba 13 ni namba ya mikosi na maajabu,na kwa muda mrefu nchi nyingi duniani hata kwenye vyumba vya wageni na hata seat za gari na ndege wanaweka namba 1,2,3... na kuendelea ila wanaivuka namba 13 kwani watu wengi hawakai hapo

Pia tarehe 13 ya ijumaa (na mara nyingi trh 13 yaangukia ijumaa) inajulikana kuwa ni siku mbaya yenye mikosi.

Daaah!! Nimezaliwa tarehe 13 ndugu yangu. Mbona wanitisha, unadhani tarehe inaweza kuniathiri na lolote??
 
Back
Top Bottom