Ni nini uandhani kitaamuliwa leo Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inaendelea leo Agosti 18, 2025 ambapo Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga anatarajia kutoa amri kuhusu ombi na pingamizi la urushaji wa moja kwa moja wa mwenendo wa shauri hilo juu ya sakata la utambulisho wa mashahidi raia wa kawaida.

Soma pia: Mvutano mkali wazuka kati ya Polisi na Mwandishi wa Habari Kisutu kwenye Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu
Your browser is not able to display this video.
 
Danadana kama kawaida mpaka kampeni zipite
 
Amri ya kutorushwa kwa kesi mubashara itatiki na kesi itapangiwa tarehe nyingne
 
No live streaming. Kesi itaahirishwa na tarehe ijayo dpp ataondoa kesi
 
Naona maisha wa siri jamuhuri nimepiga chini mashahidi wa siri
 
Si usubiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…