Kweli inabidi tufurahie maisha hata kwa Mambo madogo tunayofanikisha katika maishaMda mwingne kuwa na stress ni kujiendekeza tu ,hakuna haja ya kulipa uzito jambo ambalo sina njia ya kulitatua kwa haraka , huwa nalipotezea tu.
Na vijana wengi hukumbwa na msongo wa mawazo kwa kupenda kujilinganisha na tamaa bila process na subira yoyote.Kweli inabidi tufurahie maisha hata kwa Mambo madogo tunayofanikisha katika maisha
Nayo ni stress pia....😂ndio madameb,
au hiyo kusahau s ni tress pia nini
Hatari ndo inaanzia hapo kwanza kwanin unataka makubwa bila kufuata process kisa shortcuts zipoNa vijana wengi hukumbwa na msongo wa mawazo kwa kupenda kujilinganisha na tamaa bila process na subira yoyote.
Pole mwaya.unaweza nishauri namna ya kujikomboa na hiyo hali dah,
sijui nilikirupukaje na mimi bila kuhakiki vyema nilichoandika
Umesomesha kwa kuuza hadi mashamba na watoto hawana ajira na una Zeeka kwa kasi halafu unasikia ufisadi toka kwa viongozi ukimwagwa hadharani na Mpina!ni aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine...
ladies and gentlemen, kama hutojali,
unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo unajikwamua na kasumba hii inayotrendi sana miongoni mwa watu wengi tu nchini...
We jamaaAcha tu mkuu, stress zisikie tu.. mara yangu ya kwanza kuzimia nilipigwa Kofi na baba wakati natafuta soksi zangu za shule kwenye wallet yake
Naam mkuuWe jamaa