Ni njia zipi unaweza tumia kuepuka, kupunguza na kuondoa kabisa msongo wa mawazo 'stress'

Ni njia zipi unaweza tumia kuepuka, kupunguza na kuondoa kabisa msongo wa mawazo 'stress'

Ni aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine.

Ladies and gentlemen, kama hutojali, unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo unajikwamua na kasumba hii inayotrendi sana miongoni mwa watu wengi tu nchini...
Ehh kumbe na nyie walamba asali mnakuwaga na stress

Ova
 
Ni aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine.

Ladies and gentlemen, kama hutojali, unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo unajikwamua na kasumba hii inayotrendi sana miongoni mwa watu wengi tu nchini...
We mwanangu ujuwe...na siwezi ona unapitia hiyo kitu au jamaa,ndugu yako pia
Lakini jaribu kufanya mazoezi,na mara nyingi jichanganye na watu uwe una uzungumza nao
Kingine uwe una lala

Ova
 
Hv nyie wenzetu huwa yanapitaje? Mbna mie yanachukua muda mrefu sana na sion kama yatapita? Tangu nipoteze milion kadhaa kwenye biashara mwaka 2019-2020 sijaweza tena kusimama. Mnatumiaga njia gani kurudi kwny game ukiachana na hz motivational quotes?
Huwa mnakopa au?
Au mna suppoters wanaowapa mtaji mwngne au?
Au mnafanyaje exactly?
Mkuu ukipata loss kwenye biashara yako hakuna mbadala wa hiyo pesa, hakuna atakayekulipa kukufanyia compensation, Cha kufanya ni kuwa mtulivu na kutafuta pa kuanzia au pa kushika.

Hili nalo litapita inakupa matarajio ya kuwa Hali hiyo mbaya haitadumu milele. Juhudi zako binafsi na matumaini vitabadili Hali na siyo kukaa kulia lia miaka nenda Rudi.
 
Sawa
 
We mwanangu ujuwe...na siwezi ona unapitia hiyo kitu au jamaa,ndugu yako pia
Lakini jaribu kufanya mazoezi,na mara nyingi jichanganye na watu uwe una uzungumza nao
Kingine uwe una lala

Ova
na ambae ana stress na halali usingiz afanyeje ili alale?🐒
 
We usije ukawa hata kama ni ma dippression fanya hivyo
Tatizo lenu nyie mna complicate mambo

Ova
twende taratbu mrangi tusije kujistress tena tukachochea Tatizo wakati tunashauriana kupata Suluhu 🐒

kwan depression ikoje tena!
 
Afanye mazoezi
Zungumza na watu
Acha kukaa peke yako muda wote

Ova
for sure binafsi, nazungumza mno na wananchi na wana JF kupitia platforms mbalimbali sana tu...

mazoezi kwangu nadhani ni kanuni muhimu sana baada tu ya kuamka alfajiri..

halafu kuna baadhi ya mada humu JF ulifuatilia comments unaweza kucheka mpaka ukajipata tena una positive stress 🤣
 
Stress ni mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Hakika hakuna njia ya kuondosha stress kwakua nimbegu uipandayo mwenywe.
Njia pekee yaushindi nikutpanda mbegu hiyo.
Fikra sahihi huleta majibu sahihi.
Nakinyume chake huleta hofu na majuto.
 
Unapokuwa na "Stress" tumia njia ya kushukuru sema Asante

Pia jifunze kuhusu negative Wave jambo baya usipoliondoa kwa njia ya kusema Asante basi utakumbwa na mfulilizo wa mambo mabaya .

Hivyo practice gratitude kila muda Ahsubui , mchana jioni

Njia ya pili amka usiku uombe saanane to saakumi hii pia ni njia nzuri na bora .

Jipe muda na ufanye detachment achilia mambo .

Mwisho unabidi kuwa na resilience attitude -hali ya kuyakabili magumu.

Mara nyingi stress ukizitumia vizuri zinakukuza endapo uki-Apply hizo mbinu.
"Unapokuwa na stress sema asantee" how came?
 
Depression unachoshwa unakataa tamaa ndivyo unavyo
Kuwa

Ova
uliwezaje kutoka katika hali hiyo ya kama umechoka na kukata tamaa na mpaka sasa uko imara, jasiri na unasonga mbele mrangi 🐒
 
uliwezaje kutoka katika hali hiyo ya kama umechoka na kukata tamaa na mpaka sasa uko imara, jasiri na unasonga mbele mrangi 🐒
Mimi sijawahi kukutana na hali hizo..licha ya kupitia na kukutana na changamoto za kila aina
Ila kitu kikubwa kubaliana na hali halisi usichukulie sana vitu seriously,
Labda sisi wengine tuna mioyo migumu,iliyotokana na malezi na maisha mtu uliyopitia
Kwa wanadam wengine najuwa wana mioyo soft

Ova
 
Kimoja kikubwa nilichojifunza kuondokana na msongo wa mawazo ni kuwa na FIKRA HURU(FREE MIND). Imeniokoa mnoo!

sinung'uniki wala kulalamikia cha mtu au kunyimwa au kukosa au kukataliwa. Najifunza kila siku kutafuta na kumiliki vyangu.
 
Na vijana wengi hukumbwa na msongo wa mawazo kwa kupenda kujilinganisha na tamaa bila process na subira yoyote.
Sahihi kabisa, ongezea pia wanapenda sana anasa, mafanikio ya muda mfupi, kula bata wakati uwezo hana, maisha ya kuiga iga....
 
Ni aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine.

Ladies and gentlemen, kama hutojali, unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo unajikwamua na kasumba hii inayotrendi sana miongoni mwa watu wengi tu nchini...
Naenda beach kula upepo wa bahari
 
Back
Top Bottom