Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stress ni Nini!ni aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine...
ladies and gentlemen, kama hutojali,
unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo unajikwamua na kasumba hii inayotrendi sana miongoni mwa watu wengi tu nchini...
1. Nafanya evening jogging 👟ni aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine...
ladies and gentlemen, kama hutojali,
unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo unajikwamua na kasumba hii inayotrendi sana miongoni mwa watu wengi tu nchini...
Siku ukiugua ukakosa pesa za matibabu na chakula au ukikosa Kodi ya kulipa nyumba utaelewa nini maana ya StressMda mwingne kuwa na stress ni kujiendekeza tu ,hakuna haja ya kulipa uzito jambo ambalo sina njia ya kulitatua kwa haraka , huwa nalipotezea tu.
Anayesikiliza hip hop au kwenda gym Hana stress, kosa Kodi ya nyumba then tuletee mrejesho1. Nafanya evening jogging 👟
2.Naenda gym kufanya mazoezi
3.Nasikiliza muziki wa hip pop
Nakataa stress sio saikolojia kama ulivyosema.Stress ni Nini!
Stress ni saikolojia ,saikolojia inahusiana na tabia na mazingira ya kitu au mtu,kwa ufupi stress ni zao la tabia au mazingira ya mtu,yawezekana una tabia inaweza kujengwa kwa malezi,vinasaba waweza kuwa na ..... woga,kutokujiamini,kujitenga,kujihukumu,kujilinganisha,n.k kutokana na mazingira yanayokuzunguka kama watu,mimea,hewa,sauti,na mwonekano wa vitu......ukiwa na tabia kati ya hizo inaweza kuathiri akili na utu wako,pia waweza athiriwa kwa Moja kati ya mazingira hayo kama nilivyotaja ,Sasa angalia...... Sio Kila shida utatumia njia Moja ila suluhisho ni kinyume Cha hayo mfano woga solution ni kutokuogopa na kuwa jasiri hivyo fanya vitu vinavyokupa ujasiri,.....
Pole sana jamanisina hakika kama hilo linaweza tokea kwake au kwangu, japo inawezekana ila hajawahi kunistress 🐒
Muda mwingine huwa nikipata stress huwa napenda sana kwenda kanisanNi aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine.
Ladies and gentlemen, kama hutojali, unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo unajikwamua na kasumba hii inayotrendi sana miongoni mwa watu wengi tu nchini...
Saikolojia ni sayansi inayohusiana na tabia na mwenendo wa mwanadamu....tabia yaweza kuchochewa na motisha ya ndani au nje hivyo kubadilisha hisia/feelings,vile vile tabia yaweza kupimwa kwa mihemko/michomo ya moyo Sasa unaposhindwa kucontrol hisia/mihemko (negative wave) ndio zao la stress ,Sasa kwangu stress ni tabia ambayo ndio sehemu ya sayansi ya saikolojia.......Nakataa stress sio saikolojia kama ulivyosema.
Stress ni feeling
saikolojia ~ni kujifunza kuhusu akili na tabia.
Saikolojia ni sayansi inayohusiana na tabia na mwenendo wa mwanadamu....tabia yaweza kuchochewa na motisha ya ndani au nje hivyo kubadilisha hisia/feelings,vile vile tabia yaweza kupimwa kwa mihemko/michomo ya moyo Sasa unaposhindwa kucontrol hisia/mihemko (negative wave) ndio zao la stress ,Sasa kwangu stress ni tabia ambayo ndio sehemu ya sayansi ya saikolojia.......
Sure mkuu bila shaka umepita kwenye kitabu Cha secret by RhodaKwenye negative wave ni mawimbi kufatana nadhani mtoa mada anabidi kuelezea kuhusu negative wave
Maana ukigombana au kuwa disappointment na Mkeo /mmeo unaweza kujikuta umegombana na MTU mwingine kazini na mwisho umefukuzwa Kazi na mwenye nyumba anakupa notice na siku moja unajikuta Upo katika ulevi na hauna Kazi wala family stable.
So tujitahidi kutumia "Gratitude " ili kufanya detachment ambayo itaondoa negative wave.
Sure mkuu bila shaka umepita kwenye kitabu Cha secret by Rhoda
Hv nyie wenzetu huwa yanapitaje? Mbna mie yanachukua muda mrefu sana na sion kama yatapita? Tangu nipoteze milion kadhaa kwenye biashara mwaka 2019-2020 sijaweza tena kusimama. Mnatumiaga njia gani kurudi kwny game ukiachana na hz motivational quotes?"HILI NALO LITAPITA"