Ehh kumbe na nyie walamba asali mnakuwaga na stressNi aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine.
Ladies and gentlemen, kama hutojali, unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo unajikwamua na kasumba hii inayotrendi sana miongoni mwa watu wengi tu nchini...
We mwanangu ujuwe...na siwezi ona unapitia hiyo kitu au jamaa,ndugu yako piaNi aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine.
Ladies and gentlemen, kama hutojali, unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo unajikwamua na kasumba hii inayotrendi sana miongoni mwa watu wengi tu nchini...
Mkuu ukipata loss kwenye biashara yako hakuna mbadala wa hiyo pesa, hakuna atakayekulipa kukufanyia compensation, Cha kufanya ni kuwa mtulivu na kutafuta pa kuanzia au pa kushika.Hv nyie wenzetu huwa yanapitaje? Mbna mie yanachukua muda mrefu sana na sion kama yatapita? Tangu nipoteze milion kadhaa kwenye biashara mwaka 2019-2020 sijaweza tena kusimama. Mnatumiaga njia gani kurudi kwny game ukiachana na hz motivational quotes?
Huwa mnakopa au?
Au mna suppoters wanaowapa mtaji mwngne au?
Au mnafanyaje exactly?
SawaMkuu ukipata loss kwenye biashara yako hakuna mbadala wa hiyo pesa, hakuna atakayekulipa kukufanyia compensation, Cha kufanya ni kuwa mtulivu na kutafuta pa kuanzia au pa kushika.
Hili nalo litapita inakupa matarajio ya kuwa Hali hiyo mbaya haitadumu milele. Juhudi zako binafsi na matumaini vitabadili Hali na siyo kukaa kulia lia miaka nenda Rudi.
We usije ukawa hata kama ni ma dippression fanya hivyosina hakika kama unafahamu stress ni nini mrangi 🐒
na ambae ana stress na halali usingiz afanyeje ili alale?🐒We mwanangu ujuwe...na siwezi ona unapitia hiyo kitu au jamaa,ndugu yako pia
Lakini jaribu kufanya mazoezi,na mara nyingi jichanganye na watu uwe una uzungumza nao
Kingine uwe una lala
Ova
Afanye mazoezina ambae ana stress na halali usingiz afanyeje ili alale?🐒
for sure binafsi, nazungumza mno na wananchi na wana JF kupitia platforms mbalimbali sana tu...Afanye mazoezi
Zungumza na watu
Acha kukaa peke yako muda wote
Ova
Depression unachoshwa unakataa tamaa ndivyo unavyotwende taratbu mrangi tusije kujistress tena tukachochea Tatizo wakati tunashauriana kupata Suluhu 🐒
kwan depression ikoje tena!
"Unapokuwa na stress sema asantee" how came?Unapokuwa na "Stress" tumia njia ya kushukuru sema Asante
Pia jifunze kuhusu negative Wave jambo baya usipoliondoa kwa njia ya kusema Asante basi utakumbwa na mfulilizo wa mambo mabaya .
Hivyo practice gratitude kila muda Ahsubui , mchana jioni
Njia ya pili amka usiku uombe saanane to saakumi hii pia ni njia nzuri na bora .
Jipe muda na ufanye detachment achilia mambo .
Mwisho unabidi kuwa na resilience attitude -hali ya kuyakabili magumu.
Mara nyingi stress ukizitumia vizuri zinakukuza endapo uki-Apply hizo mbinu.
Mimi sijawahi kukutana na hali hizo..licha ya kupitia na kukutana na changamoto za kila ainauliwezaje kutoka katika hali hiyo ya kama umechoka na kukata tamaa na mpaka sasa uko imara, jasiri na unasonga mbele mrangi 🐒
"Unapokuwa na stress sema asantee" how came?
Sahihi kabisa, ongezea pia wanapenda sana anasa, mafanikio ya muda mfupi, kula bata wakati uwezo hana, maisha ya kuiga iga....Na vijana wengi hukumbwa na msongo wa mawazo kwa kupenda kujilinganisha na tamaa bila process na subira yoyote.
Naenda beach kula upepo wa bahariNi aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine.
Ladies and gentlemen, kama hutojali, unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo unajikwamua na kasumba hii inayotrendi sana miongoni mwa watu wengi tu nchini...