third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
FUMBO MFUMBIE MJINGA
LUKA 17:20-21
Siku moja, mafarisayo walipomuuliza Yesu ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi:, "ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana, 21 Wala watu hawatasema "huu hapa au ule kule", kwamaana ufalme wa Mungu umo ndani yenu"
"Ufalme wa Mbinguni umo ndani yenu, yeyote (Atakayejitambua,) atauona"
{"Egyptian book of the dead"}
hili Ni nukuu kutoka kitabu Cha wafu kilichoandikwa miaka "1000" kabla ya ujio wa [biblia] pale Misri ya kale/"kamiti"/"Kemet"/"tameri" Hivyo ndivyo Misri ya kale ilijulikana na waliokuwa wakiishi hapo ni watu weusi
mgiriki akaiita..egypt.. Mrumi alichofanya Ni kubadilisha wakaandika
"ufalme wa Mungu" na neno KUJITAMBUA walilitoa kabisaa.
Lakini katika injili ya THOMAS iliyofutwa na king James katika vile vitabu 14 mwaka 1611..
"The Gospel of Thomas"
inasema
"Lakini Kama hamtojitambua, mtakuwa mnakaa katika umasikini na ninyi ndio huo umasikini"
kifungu hiki kilikuwa Wazi kabisaa kukufungua kifikra Sasa king James akaona akitoe
Sasa baada ya kupunguza ukali au Tuseme Uwazi wakaacha MAANDIKO haya Kama fumbo/coded language wakaficha kwa misamiati laini
👉MATHAYO6:22-23
"Taa ya mwili Ni jicho, Basi jicho lako likiwa safi, mwili wako wote utakuwa na nuru, 23 lakini jicho lako likiwa bovu, mwili wako wote utakuwa na giza Basi Ile nuru iliyomo ndani yako ikiwa Giza, si Giza Hilo!..