Ni Nondo juu ya nondo naimani ipo siku mtasanuka

go deep, usiishie tu hapo...tafuta na vitabu
Vitabu nmeaoma Sana havijaweza kunitoa hata chembe. Nilidhani Hawa gnostiki kidogo wanaweza kuwa na jipya lkn zaidi humo nimekuta Ni Kama jamaa walikuwa Ni wapingaji wa ukristo tu. Sasa Mimi kawaida huwa naangalia fact ktk upingaji.
 
Je unathibitishaje kuwa maandiko yaliyoandikwa kwenye kitabu cha wafu yaliandikwa kabla ya biblia?
Maana upotoshaji upo tena mwingi sana lakini ujumbe mahsusi kwenye biblia hautapotoshwa kamwe hadi wakati ulioamriwa.
 
Siku moja, mafarisayo walipomuuliza Yesu ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi:, "ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana, 21 Wala watu hawatasema "huu hapa au ule kule", kwamaana ufalme wa Mungu umo ndani yenu"

"Tazama anakuja na MAWINGU na kila JICHO litamuona"

.Kazi kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…