Ni nyimbo gani kila ukiiskiliza inakukumbusha mbali??

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wana jf ni nyimbo gani kila ukiiskiliza inakukumbusha mbali??
Me binafsi kuna hii ya buibui "nimekusamehe ".hii nyimbo inanikumbusha dem wangu wa shule kitambo hicho nilivyomzingua ila akanisamehe kwa uchungu mnooo..
Na kuna ile ya mdada mmoja mganda wimbo wake unaitwa "Tinda tine "..anaitwaga lady Mariam sijui!..huo wimbo Wa kitambo nikiuskiaga hadi leo nakuwa nna furaha Sana yaani sijui kwanini?? 😎😎
Share nawe playlist/nyimbo zako ambazo ukiziskiliza zinakukumbusha mbalii..
Pancho boy
πŸ‘‡πŸ‘‡ πŸƒ πŸƒ
CC Viatu vya Samaki
manengelo hearly Hawachi
 
Aisee Kuch kuch hota hai ya Shah Rukh Khan na Tip tip Barsa ya Akshay Kumar nikiziskiaga izo ngoma nakumbuka mwaka 2008 nipo darasa la 4,nilikua na manzi ya kihindi walikua wanaishi kwenye apartment za serikali pale USA River daah.!!Akhynath wangu yupogo wapi cku izi!?Kama upo humu ni PM asee mimi ni F wa Kijenge Juu tulisoma wote Arusha Sec.O level.
 
Haha Una Zari Kweli Dingile.
Ulikuwaga Na Manzi Ya Kihindi? So Na Kuch Kuch Mshacheza Sana? Duh Noma
 
Umeandika ujinga ..

Sema ndo Akili ilipoishia.
 
CCM mbele kwa mbele, inanikumbusha septemba 2015
 
Ni nyimbo nyingi nkizisikia nakumbumbuka mbali, most recently almost hits za dunia za 2015 ndio huwa naziskiliza sana na hunikumbusha vingi vya mwaka huo.
 
CCM namba moja ~~Capten komba
Kampeni za 2005
 
Dada remy(wahenga tu ndio watanielewa) ex wangu alikua anapenda nyimbo za kihenga kila weekend tunaenda mabendi[emoji23] pia nakumbukaga kwetu huko tabora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…