Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji45]Wimbo wa manfongo "zamu ya Nani" nakumbuka baba enzi za uhai wake akishautwika akifika maeneo ya home anaanza kuimba icho Kipande Cha zamu ya Nani leo ataimba mpaka anaingia ndani.
Kuna wimbo wa richi mavoko "kokoro" nao alikua akiutwika lazima acheze kile kipande Cha aaaahh atacheza Hadi chini na mjuu wake tulikua tunaenjoy Sana..R.i.p Dady
Wimbo wa TI "whatever you like" unanikumbusha ex wangu mmoja alikua anapenda Sana kuniimbia hapo nimevaa t-shirt yake na kofia anaimba tunafurahi ...Rest in peace Monte
Washikaji walikuwa wakija nigongea Night kali...Elimu Dunia - Daz
Daaaah Aisee hili pini daaah. Maisha ni safari. Mungu asanteWashikaji walikuwa wakija nigongea Night kali...
Kamanda amka twende tukausake UTAJIRI...
Hata kwa njia zile ambazo sio halali...
Nikakubali, nikawa silali...
Nafanya vile AKILI yangu ilivyonituma...
Navunja Mlango hata kwa jiwe FATUMA...
Yoyote alioleta ubishi kutoa MALI alitolewa UHAI...
Nilichokuwa nkikitaka kwake kwanza ni MASILAHI...
Maasi yangu mwisho yakaongezeka...
Habari kwenye Vyombo vya DOLA kote zikafika...
Matangazo kwenye MAGAZETI sasa yakaandikwa...
Jambazi MUHALIFU anatafutwa...
Na DONGE NONO litatolewa endapo atakamatwa...
Huwezi kuamini kweli AROBAINI zake MWIZI...
Siku hiyo kwenye KAZI nimenasa KITANZI...
Naishia GEREZANI...