Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ni ya kulala wageni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu,mtu ananyanduliwa analalama utadhani kanyongwa,kumbe utamu😁😁😁Kwa kweli ni sheeedah.
Lodge nyingi au tuseme zote asilimia zaidi ya 70 wateja ni wazinzi tu. Wageni serious ni wachache sana nao kama mtu uko busy na shughuli muhimu na hauna mpango wa kuimport malaya utaona tabu tu maana lodge nyingi hazina privacy. Unaingia rum kwako unasikia chumba cha pili makelele mtu ananyanduliwa. Lazima mzuka ukupande na ww.
Kama ww ni mgeni kweli kweli na una hela inayoeleweka nenda tu hoteli zenye utulivu. Usiende lodge
Mgeni ni nani?Kama mada inavyojieleza hapo juu, tafadhali husika.
Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba maalumu kwa kufanyia uzinzi na uasherati?
Wako katika ujenzi wa Taifa,
DON YRN.
Tupe majibu mkuu!
Mgeni ni yule anayekwenda kupanga chumba kwa mahitaji yakeTupe majibu mkuu!
Akilinjema dhambi nininiOff course inasemekana hizo ni miongoni mwa biashara za dhambi.
Nyingine ni biashara ya baa, grocery na za kufanana na hizo.
Imagine Yaani mtu anafanya biashara ya dhambi?! [emoji848][emoji848]
Ananunua na kuuza dhambi?!
Ana-provide a place people to sin.?!
Ana-facilitate sin to be done?!
Mwenyezi Mungu atuhurumie.
Kwa kweli ndo maana anaumiaHana demu huyo[emoji16][emoji16][emoji16]
We ndo umesema dhambi...sheria ya nchi imeamuliwa na jamii ya watanzania na sio muarabu au muyahudi. Kama hutaki nenda kaishi Saudi ArabiaOff course inasemekana hizo ni miongoni mwa biashara za dhambi.
Nyingine ni biashara ya baa, grocery na za kufanana na hizo.
Imagine Yaani mtu anafanya biashara ya dhambi?! [emoji848][emoji848]
Ananunua na kuuza dhambi?!
Ana-provide a place people to sin.?!
Ana-facilitate sin to be done?!
Mwenyezi Mungu atuhurumie.
We ndo umesema dhambi...sheria ya nchi imeamuliwa na jamii ya watanzania na sio muarabu au muyahudi. Kama hutaki nenda kaishi Saudi Arabia
Dhambi ina tafsiri pana sana kulingana na imani ya mtuKila jambo lisilo la haki ni dhambi.
Dhambi ni kumwasi Mungu.
Dhambi ni kufanya kile kilichokatazwa kwenye Neno la Mungu.
Je nikutafutie rejea au imetosha umeshakumbuka kuwa iko hivyo coz naamini unayajua Maandiko Matakatifu kuhusu eneo hili mahsusi.
Unajuaje Mungu amekataza na sio muarabu tu au myahudi katunga sheria zake afu kasema Mungu kakataza ili watu waogope. Hivi wewe unaweza umba ulimwengu wenye sayari na nyota billions afu uumie kisa muamedi na Amina wanagusana vikojoleo Sinza mori. Kua kiakili mkuu na uishi maisha yakoKila jambo lisilo la haki ni dhambi.
Dhambi ni kumwasi Mungu.
Dhambi ni kufanya kile kilichokatazwa kwenye Neno la Mungu.
Je nikutafutie rejea au imetosha umeshakumbuka kuwa iko hivyo coz naamini unayajua Maandiko Matakatifu kuhusu eneo hili mahsusi.
😂Hata chai Ina madhara accord to science so what's ur point. Hatufati sheria za mababu wa kiyahudi na kiarabu ambayo waliamini utumwa ni sawa, wanawake ni kama wanyama tu...etc katiba yetu inaheshimu haki za binadamu Kama unataka sheria zako nenda Saudi ArabiaKaisali anachotaka ni kodi tu kwa hiyo akili kumkichwa.
Sigara na pombe ndio vinaongoza kwa kodi.
Wakati hata sayansi imethibitisha kuwa na madhara.
Imagine!
Watu wengine hufia kwenye hizo guest, je tuziite ni nyumba za kufia?Kama mada inavyojieleza hapo juu, tafadhali husika.
Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba maalumu kwa kufanyia uzinzi na uasherati?
Wako katika ujenzi wa Taifa,
DON YRN.
Aiseeee, una makasiriko kweli.We shida yako nn? Panakukosesha msosi? Ikiwa ya kulala wageni utafanyaje? Ikiwa ya uzinzi au uasherati utachukua hatua Gani?
Pepopunda iz real