Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba tengefu kwa ajili ya uzinzi na uasherati?

Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba tengefu kwa ajili ya uzinzi na uasherati?

Kwa kweli ni sheeedah.
Lodge nyingi au tuseme zote asilimia zaidi ya 70 wateja ni wazinzi tu. Wageni serious ni wachache sana nao kama mtu uko busy na shughuli muhimu na hauna mpango wa kuimport malaya utaona tabu tu maana lodge nyingi hazina privacy. Unaingia rum kwako unasikia chumba cha pili makelele mtu ananyanduliwa. Lazima mzuka ukupande na ww.
Kama ww ni mgeni kweli kweli na una hela inayoeleweka nenda tu hoteli zenye utulivu. Usiende lodge
Kweli mkuu,mtu ananyanduliwa analalama utadhani kanyongwa,kumbe utamu😁😁😁
 
Tupe majibu mkuu!
Mgeni ni yule anayekwenda kupanga chumba kwa mahitaji yake
Uzinzi ni tabia kama tabia zingine zozote!
Mgeni anayekwenda kupanga chumba gesti anaweza kuwa
Mwizi
Tapeli
Jambazi
Mtumishi
Mfanyabiashara
Kuna wengine huamua kwenda gesti kupata utulivu na kupumzika, wengine privacy nknk

Uzinzi hufanyika popote
Kwenye nyumba tunazoishi
Nyumba za kupanga
Magetoni
Kwenye maliwato ya bar nk
Kwenye mapagale
Kwenye magari
Maofisini na sehemu za biashara
Na rasmi kabisa kwenye madanguro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Off course inasemekana hizo ni miongoni mwa biashara za dhambi.

Nyingine ni biashara ya baa, grocery na za kufanana na hizo.

Imagine Yaani mtu anafanya biashara ya dhambi?! [emoji848][emoji848]

Ananunua na kuuza dhambi?!

Ana-provide a place people to sin.?!

Ana-facilitate sin to be done?!

Mwenyezi Mungu atuhurumie.
 
Akilinjema dhambi ninini

We ndo umesema dhambi...sheria ya nchi imeamuliwa na jamii ya watanzania na sio muarabu au muyahudi. Kama hutaki nenda kaishi Saudi Arabia
 
We ndo umesema dhambi...sheria ya nchi imeamuliwa na jamii ya watanzania na sio muarabu au muyahudi. Kama hutaki nenda kaishi Saudi Arabia

Kaisali anachotaka ni kodi tu kwa hiyo akili kumkichwa.
Sigara na pombe ndio vinaongoza kwa kodi.

Wakati hata sayansi imethibitisha kuwa na madhara.

Imagine!
 
Kila jambo lisilo la haki ni dhambi.

Dhambi ni kumwasi Mungu.

Dhambi ni kufanya kile kilichokatazwa kwenye Neno la Mungu.

Je nikutafutie rejea au imetosha umeshakumbuka kuwa iko hivyo coz naamini unayajua Maandiko Matakatifu kuhusu eneo hili mahsusi.
Dhambi ina tafsiri pana sana kulingana na imani ya mtu
Kuna baadhi ya imani ni dhambi kubwa ya uuaji kula nyama yoyoye
Nyingine ni dhambi kubwa kula nyama ya ng'ombe nk
Anyway nimekuelewa nilitaka tu kupanua mjadala maana kupitia imani zetu halali kwa imani moja ni haramu kwa nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila jambo lisilo la haki ni dhambi.

Dhambi ni kumwasi Mungu.

Dhambi ni kufanya kile kilichokatazwa kwenye Neno la Mungu.

Je nikutafutie rejea au imetosha umeshakumbuka kuwa iko hivyo coz naamini unayajua Maandiko Matakatifu kuhusu eneo hili mahsusi.
Unajuaje Mungu amekataza na sio muarabu tu au myahudi katunga sheria zake afu kasema Mungu kakataza ili watu waogope. Hivi wewe unaweza umba ulimwengu wenye sayari na nyota billions afu uumie kisa muamedi na Amina wanagusana vikojoleo Sinza mori. Kua kiakili mkuu na uishi maisha yako
 
Kaisali anachotaka ni kodi tu kwa hiyo akili kumkichwa.
Sigara na pombe ndio vinaongoza kwa kodi.

Wakati hata sayansi imethibitisha kuwa na madhara.

Imagine!
😂Hata chai Ina madhara accord to science so what's ur point. Hatufati sheria za mababu wa kiyahudi na kiarabu ambayo waliamini utumwa ni sawa, wanawake ni kama wanyama tu...etc katiba yetu inaheshimu haki za binadamu Kama unataka sheria zako nenda Saudi Arabia
 
Kama mada inavyojieleza hapo juu, tafadhali husika.
Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba maalumu kwa kufanyia uzinzi na uasherati?

Wako katika ujenzi wa Taifa,
DON YRN.
Watu wengine hufia kwenye hizo guest, je tuziite ni nyumba za kufia?
 
Back
Top Bottom