Ni nyuzi zipi unapenda kuzisoma na huwa za member Gani wa JF?

Ni nyuzi zipi unapenda kuzisoma na huwa za member Gani wa JF?

Mshana Jr ni mnoma saana,aloanzishq ule uzi wa picha za zamani...ulikuwa wa moto sana...tulishauri baadhi ya vitu hasa kuhusu wapigania uhuru wa kusini mwa Africa,nin as Imani yeye ndo aleshauri ,tunaona matokeo japo kiasi....

Enzi za magu wan a kitengo walikuwa
Wanasikilizwa saana Mshana akapenyeza.😀😀😀
Enzi za magu wan a kitengo walikuwa
Wanasikilizwq saana Mshana akapenyeza.
 
Back
Top Bottom