Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Dah 💪🏿🙏🏾📌🔨Binafsi mimi Mshana Jr. Maandiko yake ya kiuchunguzi ya ulimwengu mwingine. Kongole kwa Mshana Jr. Wewe nani anakuvutia hapa JF?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah 💪🏿🙏🏾📌🔨Binafsi mimi Mshana Jr. Maandiko yake ya kiuchunguzi ya ulimwengu mwingine. Kongole kwa Mshana Jr. Wewe nani anakuvutia hapa JF?
Tumia akiliKuna yule jamaa sijui anaitwa nani anatoaga nyuzi kila baada ya miaka mitano.
kwa mfano aliwahi kutoa uzi 'ilitokea marekani itatokea na huku' kwamba Tz tutakuja kutawaliwa na raisi ambae hakuchaguliwa
Ewaa huyo huyo
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Kiranga
Rakims
DR Mambo Jambo
Infropreneur
Pascal Mayalla ( ila sio nyuzi zaKe za hivi karibuni kipindi cha kazi iendelee )
DR HAYA LAND
Itakua yupo kwenye Freezer coz hata mimi The Icebreaker simuoni humu.Za barafu sijui Yuko wapi huyu jamaa.
Huyu jamaa kapotelea wapi na visa vya mama j? Au wameachan kweli mara hii? Au alikufa baada ya kunywa ile supu ya kuku aliegongwa na nyoka? 😅😅DeepPond Baba J mwenyewe😂
Wapo wengi,Ila kwa uchache wapo akina:Binafsi mimi Mshana Jr. Maandiko yake ya kiuchunguzi ya ulimwengu mwingine. Kongole kwa Mshana Jr. Wewe nani anakuvutia hapa JF?
😘 mwah mwah Auntie yangu m-cute 😍Oh wow! Thank you ever so much!
Nakuzawadia picha ya auntie ya leo leo dakika chache tu zilizopita….saa 8:45 mchana. Ndo katoka shule. Kaamua kupozi kabisa mahsusi kwa ajili ya Auntie L.
View attachment 3167629
Asante kwa kuthamini uwepo wa thread za Rakims SpiritualMshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Kiranga
Rakims
DR Mambo Jambo
Infropreneur
Pascal Mayalla ( ila sio nyuzi zaKe za hivi karibuni kipindi cha kazi iendelee )
DR HAYA LAND
Ahsante kwa compliment❤️❤️🫡🫡Dr Santos