Artifact Collector JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 6,617 Reaction score 10,205 Dec 28, 2022 #41 rodrick alexander said: Nonda aliondoka yanga akaenda kucheza Africa kusini kama yanga walimuuza taja kiasi walichomuuza Click to expand... Kwanin Simba wanajisifia kwa samata Ila yanga wakisifia kwa nonda ni kosa
rodrick alexander said: Nonda aliondoka yanga akaenda kucheza Africa kusini kama yanga walimuuza taja kiasi walichomuuza Click to expand... Kwanin Simba wanajisifia kwa samata Ila yanga wakisifia kwa nonda ni kosa
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 14,938 Reaction score 25,405 Dec 28, 2022 #42 Bantu Lady said: Nyie mikia wamechanganyikiwa vibaya, ligi imewaendea kombo... Feisal haijawa walivyotaka. Hawajui washike wapi waache wapi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] Hawa hapa makolo katika picha. Tuzidi kuwaombea kuna siku tutaona watu wanatembea wakijisemesha wenyewe
Bantu Lady said: Nyie mikia wamechanganyikiwa vibaya, ligi imewaendea kombo... Feisal haijawa walivyotaka. Hawajui washike wapi waache wapi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] Hawa hapa makolo katika picha. Tuzidi kuwaombea kuna siku tutaona watu wanatembea wakijisemesha wenyewe
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Dec 28, 2022 #43 buccaneer said: Kwanin Simba wanajisifia kwa samata Ila yanga wakisifia kwa nonda ni kosa Click to expand... Simba walimuuza Sammata Mazembe pia walipata mgao baada ya Mazembe kumuuza Sammata ubelgiji kutokana na kipengele kilichowekwa baada ya kumuuza Sammata Kwa Mazembe
buccaneer said: Kwanin Simba wanajisifia kwa samata Ila yanga wakisifia kwa nonda ni kosa Click to expand... Simba walimuuza Sammata Mazembe pia walipata mgao baada ya Mazembe kumuuza Sammata ubelgiji kutokana na kipengele kilichowekwa baada ya kumuuza Sammata Kwa Mazembe
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Dec 28, 2022 #44 buccaneer said: Kwanin Simba wanajisifia kwa samata Ila yanga wakisifia kwa nonda ni kosa Click to expand... Yanga kujisifia Kwa Nonda kwangu Mimi SI tatizo
buccaneer said: Kwanin Simba wanajisifia kwa samata Ila yanga wakisifia kwa nonda ni kosa Click to expand... Yanga kujisifia Kwa Nonda kwangu Mimi SI tatizo