Ni official Raila ajiunga na Ruto na kuwaacha wakenya bila kuamini kwenye kile unachoweza kuita handshake nyingine

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039

Mwanasiasa mtata na aliyeonyesha uroho wa madaraka na kukosa msimamo nchini Kenya Raila Odinga ametangaza rasmi kujiunga na Ruto aliyezoea kumuita mganga wa kienyeji. Inaonekana wawili hawa wanajuana.

Ruto alimuita Raila mganga akimaanisha mganga njaa kama alivyobainika kuwa. Kama akina Lyatonga Mrema, John Cheyo na wengine nchini, Raila anamaliza muda wake kisiasa kwa aibu isiyo ya kawaida.

Kwa waliomshabikia au kumuona kama kiongozi shupavu wa upinzani nchini Kenya sijui mna maoni gani kuhusiana na kigeugeu hiki na tamaa vya kutisha?
 
If you can’t convince them join them ???!
Lakini baada GN Z kuumizwa ???!!! 😱 !
 
Siasa ni utapeli, kushabikia mwanasiasa yoyote au chama chochote cha siasa ni upunguani uliokithiri.
 
Siyo mara ya kwanza Raila kuunga mkono juhudi, amekuwa akifanya hivyo kwa awamu kadhaa zilizopita na bado hakupoteza ushawishi! Siasa za Kenya ziko tofauti sana.
 
M
Siyo mara ya kwanza Raila kuunga mkono juhudi, amekuwa akifanya hivyo kwa awamu kadhaa zilizopita na bado hakupoteza ushawishi! Siasa za Kenya ziko tofauti sana.
Majority ya Ukabila ni turufu kubwa ya siasa za Kenya !
 
Sasa kuna shida gani hapo !! hii ndio siasa hakuna adui wa kudumu ni maslahi tu, ndio maana Lowasa aliitwa Fisadi lakini badae akasafishwa akawa Mgombea wa Ukawa kwenye mwamvuli wa Chadema
 
HUYU NI SAWA NA LISSU ATAKAVYOMALIZA MBIO ZAKE KISIASA KWA AIBU KUBWA SANAAAA YAAANI MIUTAANI WATAKUWA WANAMZOMEA KAMA AMEBEBA MAVI
 
We umeshawahi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa? Hujui maana ya uongozi
 
Wakenya mnaputia shida kubwa licha ya katiba yenu mpya ...kuna kitu kitafuteni kwa nguvu zenu zote nacho ni katiba itakayo zuia WANASIASA KUWA WAPIGA KURA mkifanya hivyo mtakuja kunishukuru
Siasa za Kenya ni nzuri kwani ni huru na za, restrictions ni ndogo kuliko siasa za Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…