Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Mwanasiasa mtata na aliyeonyesha uroho wa madaraka na kukosa msimamo nchini Kenya Raila Odinga ametangaza rasmi kujiunga na Ruto aliyezoea kumuita mganga wa kienyeji. Inaonekana wawili hawa wanajuana.
Ruto alimuita Raila mganga akimaanisha mganga njaa kama alivyobainika kuwa. Kama akina Lyatonga Mrema, John Cheyo na wengine nchini, Raila anamaliza muda wake kisiasa kwa aibu isiyo ya kawaida.
Kwa waliomshabikia au kumuona kama kiongozi shupavu wa upinzani nchini Kenya sijui mna maoni gani kuhusiana na kigeugeu hiki na tamaa vya kutisha?