Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA
Pia ni ofisi gani ambayo interns wanalipwa hela kubwa😂
WANA JAMII FORUM NAOMBA KUULIZA NI OFISI GANI INATOA AJIRA YENYEWE BILA KUPITIA UTUMISHI , YANI WANA KIBALI CHA AJIRA NA WANAMSHAHARA MKUBWA KWA BBA YA ACCOUNTING KABLA YA KUPATA CPA NA WAPI PIA INTERNSHIP WANALIPWA HELA KUBWA😂🥹