Hapo mkuu computer bora ni Hp kwa maana ya brands,, vile vile spectra ni kwa watu official sana haziitaji complicated kivile Ila ni bora zaidi ya LENOVO YOGA.
lenovo zinaimili mazingira yote ya kazi...
Kikubwa hapo zaidi ni uwezo wa processors and specs