Ni pedi gani nzuri zaidi kwa bei rafiki

Ni pedi gani nzuri zaidi kwa bei rafiki

wanaume mnachambua pedi mnavaa ninyi? wanawake ndio walitakiwa waseme wao wao ndio watumiaji wakuu how men unajibu hili swali la mtoa mada?
Broo from my experience naweza sema kwamba kuna umuhimu mkubwa wa wewe kama mwanaume kujua hivi vitu, unaweza Dhani ni vitu vya kike ila sivyo, kila kitu kinachomhusu mwanamke wako inabidi ukijue, huo ndo uanaume, knowing everything.

Mfano mm naijua circle ya mwanamke wangu zaidi hata ya yeye anavoijua, kuna muda mi ndo namkumbuka anaingia period lini, sio kwamba ni mzembe ila napenda tuu kuyabeba hayo majukumu, wanawake jau sana usipokuwa makini mnaweza mkazaa hata watoto kumi.
 
s

awa
 
Nataka kumnunulia mpenzi wangu pedi ila sijajua ipi ni bora zaidi.
Kama uko njema mfukoni nenda maduka ya jumla mchukulie HQ carton zinakua 24 Bei elfu 70, nusu carton zinakua 12 kwa elfu 35, ukichukua kwa Bei ya lejaleja ni 3500 kwa piece moja, so ukichukua za jumla inakua nafuu na anakaa nazo kwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom