Ni pedi gani nzuri zaidi kwa bei rafiki

Ni pedi gani nzuri zaidi kwa bei rafiki

Ishi na Human Cherry... 3,500 ukinunua 2pc fresh.

Hafu jiwekee katabia kama unampenda, save siku zake "MP yake" unakua unamsuprise. Buku 7 + kukumbuka MP yake itakusaidia sana kuboresha mahusiano.

Mfano mi nimesave kwenye Calendar (usidownload Flo)
Screenshot_20240524-103728~2.png


Haiwezi kua perfect ila atleast najua tarehe zake, mood swings zake.

Achana na losers wanaosema eti hudumia wao wakale hamna kitu hao keyboard warriors.
 
Natakiwa nimchukulie pc ngap kwa mwez
Inategemea na brand.
Maana kotex zinakaa 8 kwa elf 5
HC zinakaa 10 kwa elf 4.

Pia uvujaji wake na siku ngapi anaenda.
Asbh 1 mchana ya 2 usiku ya 3
Hapo ni normal… anatumia 3
kwa siku
Kama anaenda siku 3/4 means pakti 1 itatosha akilazimishia kwa HC….Kotex pakti 1 haitoshi.
Kama anaenda zaidi ya siku 4 hapo ni 2 bila maelezo ya ziada.

Au pakti 3 kwa 2 months
 
Kama uko njema mfukoni nenda maduka ya jumla mchukulie HQ carton zinakua 24 Bei elfu 70, nusu carton zinakua 12 kwa elfu 35, ukichukua kwa Bei ya lejaleja ni 3500 kwa piece moja, so ukichukua za jumla inakua nafuu na anakaa nazo kwa muda mrefu
Kuna mtu unamfahamu, tupate connection..maana nusu walisema hazipo, wana za 24 maduka mengi niliyoulizia…
 
wanaume mnachambua pedi mnavaa ninyi? wanawake ndio walitakiwa waseme wao wao ndio watumiaji wakuu how men unajibu hili swali la mtoa mada?
Kuna madaktari na watengenezaji wa hizo pads ambao sio wanawake.
 
Back
Top Bottom