Ni pedi gani nzuri zaidi kwa bei rafiki

Ishi na Human Cherry... 3,500 ukinunua 2pc fresh.

Hafu jiwekee katabia kama unampenda, save siku zake "MP yake" unakua unamsuprise. Buku 7 + kukumbuka MP yake itakusaidia sana kuboresha mahusiano.

Mfano mi nimesave kwenye Calendar (usidownload Flo)


Haiwezi kua perfect ila atleast najua tarehe zake, mood swings zake.

Achana na losers wanaosema eti hudumia wao wakale hamna kitu hao keyboard warriors.
 
Natakiwa nimchukulie pc ngap kwa mwez
Inategemea na brand.
Maana kotex zinakaa 8 kwa elf 5
HC zinakaa 10 kwa elf 4.

Pia uvujaji wake na siku ngapi anaenda.
Asbh 1 mchana ya 2 usiku ya 3
Hapo ni normal… anatumia 3
kwa siku
Kama anaenda siku 3/4 means pakti 1 itatosha akilazimishia kwa HC….Kotex pakti 1 haitoshi.
Kama anaenda zaidi ya siku 4 hapo ni 2 bila maelezo ya ziada.

Au pakti 3 kwa 2 months
 
Mwanzoni kile kipupwe mimi mwenyewe kilikua kinanidisturb lakini nishazoea sisikii tena😂
Kinaleta disconfort kwa sekunde kadhaa
Sikipendi. Kuna kipindi walileta za blue ambazo hazina kipupwe. Ila upatikanaji wake mgumu.
Nikiikosa blue natulia na lavy/ kotex
 
Kama uko njema mfukoni nenda maduka ya jumla mchukulie HQ carton zinakua 24 Bei elfu 70, nusu carton zinakua 12 kwa elfu 35, ukichukua kwa Bei ya lejaleja ni 3500 kwa piece moja, so ukichukua za jumla inakua nafuu na anakaa nazo kwa muda mrefu
Kuna mtu unamfahamu, tupate connection..maana nusu walisema hazipo, wana za 24 maduka mengi niliyoulizia…
 
wanaume mnachambua pedi mnavaa ninyi? wanawake ndio walitakiwa waseme wao wao ndio watumiaji wakuu how men unajibu hili swali la mtoa mada?
Kuna madaktari na watengenezaji wa hizo pads ambao sio wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…