Ni pepo mbaya, kila malaya nayelala nae anaibukiwa na kuwa na hisia na mimi

Mimi ni tofauti na wewe ,Mimi nikianza mahusinao na Mwanamke nimemfungulia mlango wa kutongozwa na wanaume wengine na Mara nyingi huolewa kabisa

Mimi sinaga mausiano ya kudumu na Mwanamke wa nje ,Sipendi kuchepuka ila nikizidiwa nikikaa mda mrefu sijapaona ndio huwa natafuta na nikipita nimepita najuwaga namna ya kumaliza bila kumuimiza mtu na sipendi aumie mtu

Ata kabla ya kuoa ilikuwa hivyo nikiwa nachumbia ata kabla sijamkula akapata mwingine na Mimba juu akatoroka na kwao
Siyo wote hupata watu sahihi kwani huwa na wakati mgumu kuchagua .
Sina kumbukumbu ya Demu nilishawahi kuwa naye alafu akabaki bila kuolewa achana na kudumu
 
Ni noma
 
Ebhana kuna jamaa yangu naye alikuwaga na hii Pepo, mwananyamala pale alikuwa anakwenda kununua demu, demu mmoja akamwelewa alikuwa anamfungia kwenye vile vijumba vyao jamaa anapiga mashine hadi asubuhi na hela ya kula juu🤣🤣
 
Back
Top Bottom