Ni pepo mbaya, kila malaya nayelala nae anaibukiwa na kuwa na hisia na mimi

Wee kijana wacha kutuchora, hivi kuna demu gani utampiga bao nne au tano asikutafute kwa dunia hii, hujui kama wanaume shababi tumebaki wachache? Unakaa na upwiru wako miezi sita hata puli hupigi ukiikamata nyapu mpaka ifuke moshi lazima wakutafute, chamsingi usitoe namba kama hutaki kurejea, hapo hakuna cha pepo wala ndege ni wewe mwenyewe na upwiru wako tu ndio unaokupa nyapu za bure
 
Mkuu,

Kwa hiyo wewe unajua ugonjwa ni UKIMWI tu?

Unafahamu nini kuhusu magonjwa yanayoletwa na bacteria ambayo hayatibiki kwa antibiotics?

Unajua kuna gono sugu ambalo halisikii dawa?
Kifupi hakuna malaya utamgonga bila ndomu kabla hamjapima lakini hao malaya zenu mnaowaita wapenz wenu mnawaamini mnawala kavu bila kupima ndo watawauwa
 
Punguza dau unalowapa. Anza ku bargain hadi 20k to 15k uone kama watahitaji hata kuchukua namba zako. Sana sana utaambiwa maliza haraka mi nimeshachubuka naumia.
Mimi sigongi malaya wanuka chupi kaka, ukitaka vizuri gharamia
 
Hapo hata hawakupendi ni wanakuseti tu. Wameshaona una maisha mazuri kimtindo, kwahiyo siku wakichunda kabisa wanaona wakutafute.. hata wakikupa bure wanajua lazima utanunua vimsosi na vi bia vya hapa na pale wasuuze koo. Njaa tu hizo zinawasumbua.
Uzi ufungwe [emoji3][emoji3]
 
Sasa unajua ni Malaya halafu unalala naye? Umejitakia mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…