Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Tumia Bond haina harufu Kali ,,na onanukia kistaarabTangu nizaliwe sijawai tumia perfume lakini nafakuanza kutumia perfume kulingana na kazi Yangu je ni perfume gani nitumie
Nature ya kazi Yangu ni kuwakaribu na watu
unaweza nipa harufu yakeCobra
Nikutumie kwa Wi-Fi au Bluetooth?unaweza nipa harufu yake
nitafute +255 653660669Tangu nizaliwe sijawai tumia perfume lakini nafakuanza kutumia perfume kulingana na kazi Yangu je ni perfume gani nitumie
Nature ya kazi Yangu ni kuwakaribu na watu
chibu za like bhanaChibu perfume
Inafaa kwa mwanamke na pia kwa mtu mwenye ttzo la upuaji?Tumia Bond haina harufu Kali ,,na onanukia kistaarab
Hahaha usingemjibu ivi ningemjibu mimi.Nikutumie kwa Wi-Fi au Bluetooth?