Ni perfume gani Itanifaa kulingana na kazi yangu

Ni perfume gani Itanifaa kulingana na kazi yangu

hiyo kazi ya kuwa karibu na watu ni kazi gani ? na ukaribu huo ni ukaribu gani ?
 
Tangu nizaliwe sijawai tumia perfume lakini nafakuanza kutumia perfume kulingana na kazi Yangu je ni perfume gani nitumie
Nature ya kazi Yangu ni kuwakaribu na watu
Wewe ni Mwanamke au mwanaume??baadae ya hapo ndo ukapata ushauri wang?!!
 
Me niko nauza perfumes mbalimbali za kike na za kiume.. Na uzuri ni kwamba niko na offer ya punguzo la bei mpaka 30%, ukihitaji wasiliana nami kwa simu namba 0672416294 nikuhudumie perfume Og kabisa
 
Back
Top Bottom