Tuttie
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,263
- 1,304
haya nakuzoom tu saiviChawa chirudii Tena..😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya nakuzoom tu saiviChawa chirudii Tena..😅
nafanya monitoring kwa kenzy asilete utani hapa😶Monitor
Unabet?Za kubet
😀😀Za kubet
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu hii pesa hata mimi sitaisahau japo sijaitoa mimiNilipiga dili halali kazini nikapata kama laki tatu hivi ilikuwa jumamosi, sikurudi nyumbani nikapitia club moja kuna live band inapiga muda huo. Kuna wimbo wao huwa naupenda sana, nikamwita mwanamuziki mmoja kumuomba waupige. Akaniambia mmoja wa waimbaji wa wimbo huo hakuja anaumwa na hakuna mwimbaji mwingine aliefanyia mazoezi kipande chake hivyo hawatoweza kuupiga.
Sijui nilipanda na mzuka gani nikamwambia nitawapa kila mwanamuziki elfu kumi, lineup ya bendi nzima ilikuwa na wanamuziki 12. Yule mwanamuziki akamuita kiongozi wake wakaa chemba wanateta huku wakiniangalia mimi. Baada ya muda nasikia wimbo wangu unapigwa ila kile kipande cha mwanamuziki asiekuwepo kiliwasumbua ila walitumia uzoefu tu. Ikabidi nijumuike jukwaani kutimiza ahadi yangu. Ilinitoka kama 120,000/=. Ile pesa naikumbuka mpaka kesho ingawa sikuipatia tabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ulikuwa umelewa niniNilipiga dili halali kazini nikapata kama laki tatu hivi ilikuwa jumamosi, sikurudi nyumbani nikapitia club moja kuna live band inapiga muda huo. Kuna wimbo wao huwa naupenda sana, nikamwita mwanamuziki mmoja kumuomba waupige. Akaniambia mmoja wa waimbaji wa wimbo huo hakuja anaumwa na hakuna mwimbaji mwingine aliefanyia mazoezi kipande chake hivyo hawatoweza kuupiga.
Sijui nilipanda na mzuka gani nikamwambia nitawapa kila mwanamuziki elfu kumi, lineup ya bendi nzima ilikuwa na wanamuziki 12. Yule mwanamuziki akamuita kiongozi wake wakaa chemba wanateta huku wakiniangalia mimi. Baada ya muda nasikia wimbo wangu unapigwa ila kile kipande cha mwanamuziki asiekuwepo kiliwasumbua ila walitumia uzoefu tu. Ikabidi nijumuike jukwaani kutimiza ahadi yangu. Ilinitoka kama 120,000/=. Ile pesa naikumbuka mpaka kesho ingawa sikuipatia tabu.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ulijiona papaa ghaflaNilipiga dili halali kazini nikapata kama laki tatu hivi ilikuwa jumamosi, sikurudi nyumbani nikapitia club moja kuna live band inapiga muda huo. Kuna wimbo wao huwa naupenda sana, nikamwita mwanamuziki mmoja kumuomba waupige. Akaniambia mmoja wa waimbaji wa wimbo huo hakuja anaumwa na hakuna mwimbaji mwingine aliefanyia mazoezi kipande chake hivyo hawatoweza kuupiga.
Sijui nilipanda na mzuka gani nikamwambia nitawapa kila mwanamuziki elfu kumi, lineup ya bendi nzima ilikuwa na wanamuziki 12. Yule mwanamuziki akamuita kiongozi wake wakaa chemba wanateta huku wakiniangalia mimi. Baada ya muda nasikia wimbo wangu unapigwa ila kile kipande cha mwanamuziki asiekuwepo kiliwasumbua ila walitumia uzoefu tu. Ikabidi nijumuike jukwaani kutimiza ahadi yangu. Ilinitoka kama 120,000/=. Ile pesa naikumbuka mpaka kesho ingawa sikuipatia tabu.
Kila zinapofika tarehe dume zile tarehe ngumu kwa mfanyakazi huwa nakumbuka sana ile pesa. [emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu hii pesa hata mimi sitaisahau japo sijaitoa mimi
Hapana wala sikupiga gambe ila sijui ni mzuka gani ulinipata. Nadhani ni ile hela ambayo sikuitegemea kupata kwa siku ile tena nilifanya dili nyepesi sana na dili halali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ulikuwa umelewa nini
Toka siku hiyo nikawa nafahamika na wanamuziki wa ile bendi, kila nikihudhuria show zao wananifuata wanipige mzinga. Hawakujua kama ile ilikuwa ni zali lao tu, nikaacha kwenda kwenye live show za bendi hiyo bendi ilikuepuka usumbufu.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ulijiona papaa ghafla