Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

Kuna kipindi nilikuwa napenda kunywa amarula occasionally na hasa nikipata ofa[emoji2957]
Nakumbuka best angu alikuwa na birthday hivyo nikajikoki nikanunua ile kubwa. Tumekula vizuri tukaanza kunywa...mara best akaniambia hii kitu haijachangamka tuchanganye na k vant...yeye ni mtu wa pombe tofauti na mimi...bwana bwana si nikakubali nikawa naweka kidogo kidogo.

Chupa ilivyokaribia kuisha nikashangaa ulimi unakuwa mzito mdomoni[emoji2]Story haziendi tena ikabidi tuite tax. Hatukufika mbali kichefuchefu hiki hapa, mikono mizito sikuweza hata kufungua kioo nikatapikia ndani kwenye miguu...yani nililegea hatari. Dereva akamind akataka tumlipe na ya kuosha gari[emoji2]

Kufika home naona nyota tu nikaingia chooni kwa kutambaa....nilifanikiwa kuvua suruali tu[emoji85]
Tangu siku hiyo mapenzi na amarula yakaisha...nimekuja kuionja mwaka jana baada ya kama miaka 4 hivi ila niliinywa kwa tabu sana so nimeachana nayo.
 
Elezea kisa kilichokukuta mpaka ukasema hutakuja kuigusa pombe ya aina fulani
Kingfisher, scheni tu ilinifanya mbaya, hii niligida fasterfaster bila kuabgalia nguvu yake, kuna dada alitupa ofer kwenye bouta chuoni india, kwamba boat inaondoka na kila aliyemo atakunywa tani yake hadi turudi nchi kavu, kwa bill yake, tulikuwa kama mtu 30 hivi, nikapiga kama 6 hivi, kufika nchi kavu mm naona bling bling, tour ikaharibikia hapo nlirudisha chenj kama zote, ikabidi nilale kwenye bus hadi walivomaliza tukarudi hotel
IMG_20160902_113452.jpg
 
Kuna kipindi nilikuwa napenda kunywa amarula occasionally na hasa nikipata ofa[emoji2957]
Nakumbuka best angu alikuwa na birthday hivyo nikajikoki nikanunua ile kubwa. Tumekula vizuri tukaanza kunywa...mara best akaniambia hii kitu haijachangamka tuchanganye na k vant...yeye ni mtu wa pombe tofauti na mimi...bwana bwana si nikakubali nikawa naweka kidogo kidogo.

Chupa ilivyokaribia kuisha nikashangaa ulimi unakuwa mzito mdomoni[emoji2]Story haziendi tena ikabidi tuite tax. Hatukufika mbali kichefuchefu hiki hapa, mikono mizito sikuweza hata kufungua kioo nikatapikia ndani kwenye miguu...yani nililegea hatari. Dereva akamind akataka tumlipe na ya kuosha gari[emoji2]

Kufika home naona nyota tu nikaingia chooni kwa kutambaa....nilifanikiwa kuvua suruali tu[emoji85]
Tangu siku hiyo mapenzi na amarula yakaisha...nimekuja kuionja mwaka jana baada ya kama miaka 4 hivi ila niliinywa kwa tabu sana so nimeachana nayo.
Hapo kosa sio la Amarula ila ni hiyo uliyochanganya ndo ilikuzidi, umeionea Amarula bureeeeeee.
 
Kuna kipindi nilikuwa napenda kunywa amarula occasionally na hasa nikipata ofa[emoji2957]
Nakumbuka best angu alikuwa na birthday hivyo nikajikoki nikanunua ile kubwa. Tumekula vizuri tukaanza kunywa...mara best akaniambia hii kitu haijachangamka tuchanganye na k vant...yeye ni mtu wa pombe tofauti na mimi...bwana bwana si nikakubali nikawa naweka kidogo kidogo.

Chupa ilivyokaribia kuisha nikashangaa ulimi unakuwa mzito mdomoni[emoji2]Story haziendi tena ikabidi tuite tax. Hatukufika mbali kichefuchefu hiki hapa, mikono mizito sikuweza hata kufungua kioo nikatapikia ndani kwenye miguu...yani nililegea hatari. Dereva akamind akataka tumlipe na ya kuosha gari[emoji2]

Kufika home naona nyota tu nikaingia chooni kwa kutambaa....nilifanikiwa kuvua suruali tu[emoji85]
Tangu siku hiyo mapenzi na amarula yakaisha...nimekuja kuionja mwaka jana baada ya kama miaka 4 hivi ila niliinywa kwa tabu sana so nimeachana nayo.
Hukujinyea kweli wewe😂😂🤣🤣
 
Ulanzi ukinywa unalewa na ujijui Kama unalewa, nilienda kumsalimia mjomba kijijini ,nilikata maji Kama mamba na kuku, inafika jioni nikaona isiwe Tabu,nikaufuta porini wanapogema, kilichofuata, kilichofuata nikajikuta nipo kitandani, na mianzi yote niliikata Ila kumbukumbu hakuna
 
K-vant aisee hapana.

Nilifika home hata sijui nimefikaje hapo katikati sikumbuki chochote, zaidi nilichokumbuka kuwa jana yake nilikosea nyumba. Nikataka kuingia kwa mwingine nasikia mtu ndani anauliza nani? Nikajua hapa nimechanganya madesa.😂😂
Ndio ilikuwa mwanzo na mwisho kuchanganya k vant na bia.
 
Back
Top Bottom