Ni pombe gani huwa inakupa mzuka na kuona Dunia ni sehemu salama?

Ni pombe gani huwa inakupa mzuka na kuona Dunia ni sehemu salama?

Serengeti Premium Lite ya baridi

Aisee!!

Hii bia naipenda sana hasa nikiwa nainywa niwe na demu ninaye muelewa na ukute ndo ingizo jipya mgegedo wa kwanza

Huwa nakuwa kwenye furaha fulani hivi amazing

Napigaga tako muno halafu nakuwaga mjasiri wa kuzama popote penye tundu

IGA UFE
 
Ugoro ni noma aisee usijaribu
Ñilijaribu day 1 nikahi mkojo,kamasi joto hatari nikahisi kwenda chooni mda huo huo , mpaka leo ñaendelea ña kvañt value lager na vimiminika vingine mubashara
 
Serengeti lager ya baridi hapo niwe na hela salio linasoma
 
Mnyama K-VEEE na maji kubwa pembeni afu mdudu/mbuzi anaivishwa kilo mbili3 bas najiona muruuuuua kbsa[emoji847]
K vant ni konyagi ya kike nilikunywa chupa yote la ml_750 na sikushtuka.!

Toka hapo nikaachananayo
 
Kwa kweli Pombe ina ka vibe kake fulani Hasa ukiwa na washikaji au Mbebezi wako halafu mkatoka na usiwe na pesa ya mawazo.. Yaani piga kilaji, piga Nyama, Huku ukiwa na uhakika wa usafiri wa kukupeleka Sehemu ya kupumzika...

Binafsi Nikifika sehemu Ya monde halafu Nikaanda kula Windhoek Zangu baridi... Huku Mziki unagonga masikio Yangu.. Nasahau tabu na karaha zote za dunia.. Halafu Nione na totoz kali zikipita basi Mimi burudaaaani kabisa.


Kwa upande wako Ni kilaji gani huwa unakipenda?
Safari lager, ladha kamili sifa thabiti.
 
Back
Top Bottom