Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]GUINESS NA CASTLE MILK STOUT
Yaani nikose hela ya kununua magari, viwanja, mjumba n.k nikose na ya kunywa vizuri vizuri Beer, K vant, Konyagi, wine na whiskey eti niogope kitambi.... kwendaaa huko
Serengeti Premium Lite ya baridi
Aisee!!
Hii bia naipenda sana hasa nikiwa nainywa niwe na demu ninaye muelewa na ukute ndo ingizo jipya mgegedo wa kwanza
Huwa nakuwa kwenye furaha fulani hivi amazing
Napigaga tako muno halafu nakuwaga mjasiri wa kuzama popote penye tundu
IGA UFE
AiseePombe yeyote changanya na ugolo kidogo
ha ha ha!!Pilsner [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ZoëDuh kumbe hadi wewe una haya mambo
Nilikuwaga nakuona mstaarabu
Ilikuwa kilevi changu sasa nimejiombea walau naacha achaxvideos
Hua ina konga moyo wanguHio ndio bia halisi, Bia iliyopikwa na ikabaki na uchungu wake halisi.
WouzerrrrK-vant..nikipiga hiyo hata Kama Sina pesa najiona billionea laizer anasubiri.[emoji41]
Acha pombe, tafuta pesa wekeza
Umesikia?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wa kunywa soda nanii yaani hapo nimeiandika mpaka mate yamenijaaHahahha aisee
Wanywa soda tunapita tu
Njoo mbezi...zipo 5 hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wa kunywa soda nanii yaani hapo nimeiandika mpaka mate yamenijaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jinga kweli nitoke huku nifate heinekenn mbezi kwa nini usirahisishe kutuma kwa tigo pesa [emoji847]Njoo mbezi...zipo 5 hapa
Mimi nilishatumia nauli elf 12 kufuata bia 3 kibaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jinga kweli nitoke huku nifate heinekenn mbezi kwa nini usirahisishe kutuma kwa tigo pesa [emoji847]
Umekuwa Adam njoo goba [emoji1787][emoji1787]
Hahhahah mwenyewe ukajiona mjanja etiMimi nilishatumia nauli elf 12 kufuata bia 3 kibaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeyote yenye kuanzia 35%Kwahiyo sasa hivi unakunywa nini