wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 814
- 1,107
NIPA (NEW INTERNATIONAL PURE ALCOHOL)Kwa wale wazee wenzangu tuliokulia kijijini,vitu vya kienyej tumepitia. Sasa we unahis kipi cha ukwel? Mie japo sio mhehe ila jamani 'ULANZI' mtamu. Yan kila unapopiga funda utamu unaongezeka huku na wewe unalewa taratiiibu!
Ohoo nisije nikafukuzwa kazi kwa amri ya Raisi!!