Ni pombe gani ya kienyeji unaikubali kupita zote?

Pingu naipenda hakuna mfano
Kwa wale wazee wenzangu tuliokulia kijijini,vitu vya kienyej tumepitia. Sasa we unahis kipi cha ukwel? Mie japo sio mhehe ila jamani 'ULANZI' mtamu. Yan kila unapopiga funda utamu unaongezeka huku na wewe unalewa taratiiibu!
 
Pingu kali yao
 
Ulanzi wa kuchemsha unaitwa Kiambule unakula na ugali safi sana ile kitu
 
Back
Top Bottom