wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 814
- 1,107
NIPA (NEW INTERNATIONAL PURE ALCOHOL)Kwa wale wazee wenzangu tuliokulia kijijini,vitu vya kienyej tumepitia. Sasa we unahis kipi cha ukwel? Mie japo sio mhehe ila jamani 'ULANZI' mtamu. Yan kila unapopiga funda utamu unaongezeka huku na wewe unalewa taratiiibu!
Juu ni nyeusi chini ni ya kijanilubisi ikoje iyo?
Go goKwa wale wazee wenzangu tuliokulia kijijini,vitu vya kienyej tumepitia. Sasa we unahis kipi cha ukwel? Mie japo sio mhehe ila jamani 'ULANZI' mtamu. Yan kila unapopiga funda utamu unaongezeka huku na wewe unalewa taratiiibu!
GongoKwa wale wazee wenzangu tuliokulia kijijini,vitu vya kienyej tumepitia. Sasa we unahis kipi cha ukwel? Mie japo sio mhehe ila jamani 'ULANZI' mtamu. Yan kila unapopiga funda utamu unaongezeka huku na wewe unalewa taratiiibu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio starehe yenyewe hasa kama mna ugomvi na maiwaifu wako, unanyea shuka zote.
Aliyekua afande Fulani [emoji38][emoji38]Nipa…kama alivyodai afande fulani hivi…
Waragi je mkuu?Gongo la Kagera hasa kutokea Karagwe na Kyerwa ndo pombe ninayoikubali inaitwa ENGULI/KALINYA kuna namba yake inaitwa EMBANDULE (Super)hii km huna kerosene unaweza washia kibatari/chemri. Duu,nimeimiss kinoma
Hii ya wapi mkuu?Kunayo inaitwa kayoga wazee ni habari nyingine
Hahahaha,Uganda waragi hapo tumevuka bodaWaragi je mkuu?
Ila hata maeneo ya bunazi, mutukUla, bugango kote unaweza ipata waragiHahahaha,Uganda waragi hapo tumevuka boda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasa ya Ndizi.WANZUKI,, ni balaa