Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Kwa wale wazee wenzangu tuliokulia kijijini,vitu vya kienyej tumepitia. Sasa we unahis kipi cha ukwel? Mie japo sio mhehe ila jamani 'ULANZI' mtamu. Yan kila unapopiga funda utamu unaongezeka huku na wewe unalewa taratiiibu!
Pingu kali yaoKwa wale wazee wenzangu tuliokulia kijijini,vitu vya kienyej tumepitia. Sasa we unahis kipi cha ukwel? Mie japo sio mhehe ila jamani 'ULANZI' mtamu. Yan kila unapopiga funda utamu unaongezeka huku na wewe unalewa taratiiibu!
Ya wapi hii mkuuTekawima