Ni Programming Language gani unaisoma sasa?

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
3,865
Reaction score
4,506
Nipo katika safari ndefu ya kujifunza computer programming.Sasa hivi ninajifunza Fortran na c++.Fortran ni kifupi cha Formula Translation. Fortran ni language ambayo ni very powerful na application zake zinatumika kwenye systems zinazodeal na scientific na engineering computations Yaani mahali panapohitajika mathematical calculations nyingi mfano kwenye mambo ya anga

Nipo kwenye level ya kuanza.Hapo chini ni code na output windows zinazoonyesha matokeo ya ufanyaji kazi wa code hizo baada ya ku compile code kwenda kwenye Machine Language na kuzirun.Namna nzuri ya kuanza kujifunza programming ni kuanza kutengeneza Console Applications ambazo program input na output zinakuwa

Kwenye DOS window kama inavyoonekana hapo chini

Program 1

Trip_Fuel_Estimation_Logic.jpg

Trip_Fuel_Estimation_Output.jpg

Program 2
Trip_Cost_Estim_Logic.jpg

Trip_Cost_Estim_Output.jpg

Program 3

Speed_soln_fortran.jpg

20200531_231017.jpg

Program 4 c++ program

20200603_013542.jpg

20200603_013641.jpg

Program 5
BankBal_Logic.jpg

BankBal_Output.jpg

Program 6
20200616_111609.jpg

Num_Pwr_Num_Output.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20200603-013201_HTML Viewer.jpg
    Screenshot_20200603-013201_HTML Viewer.jpg
    73.4 KB · Views: 13
  • BankBal_Logic.jpg
    BankBal_Logic.jpg
    78.4 KB · Views: 13
  • Num_Pwr_Num_Logic.jpg
    Num_Pwr_Num_Logic.jpg
    27 KB · Views: 13
hivi hii CSS HTML NOTEPAD huwa inamahusiano na hizi fani?
Mi nimeikuta nimeichukua na kuiweka katika computer kisha nasubiri kuona kazi yake
 
  • Thanks
Reactions: Sax
hivi hii CSS HTML NOTEPAD huwa inamahusiano na hizi fani ?

Unaweza tumia kutengenezea websites, japo utatumia nguvu naona nyingi sana
 
Njia gani ambayo inaweza kuwa rahisi kwa mtu kutengeneza website ?
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Njia gani ambayo inaweza kuwa rahisi kwa mtu kutengeneza website ?
Siku hizi kuna templates ziko tayari, waweza tumia WYSISYG, joomla na zingine nyingi tu. Sema binafsi sipendi kutumia templates ndiyo mana sizifatilii sana na mimi natengeneza sana web Application zaidi. Jifunze kwa bootstrap itakuweka sehemu nzuri sana. Mimi natumia Aspx +C# na kwa database SQL.
 
hivi hii CSS HTML NOTEPAD huwa inamahusiano na hizi fani ?
Mi nimeikuta nimeichukua na kuiweka katika computer kisha nasubiri kuona kazi yake
Notepad pia ni very powerful, waweza tengeneza virus kwa kutumia .batch files
 
Kijana naona unapambana na c++ sana.
Ni vizur.. lakin kqa experience yangu c++peke yake haitoshi.
And ulichoandika ni simple codes tu.
In real world ni more than that.
Atlest jifunze lugha 5 za programming ili uweze kuwa competitive kwenye ajira.
 
Kirus kqa batchfile unatengeneza simple virus. Ambae antivirus za kawaida zinamuona. Ww mwenyewe unaweza kisaka kwa cmd na ukakimaliza.
Virus wa sasa wamatengezwa na java, c++.
Hawa wanauwezo wa kuangusha hata mabenki ..stock markets..na kadhalika
 
hivi hii CSS HTML NOTEPAD huwa inamahusiano na hizi fani ?
Mi nimeikuta nimeichukua na kuiweka katika computer kisha nasubiri kuona kazi yake

Cascading Style Sheet ni kwenye web ndio mahala pake kwa ajili ya muenekano wa webpage mfano humu jf.CSS ni interpreted language maana yake ni kwamba web browser ndio inatafsiri CSS na kuzifanyia kazi ila programming language inakuwa analyzed na compiler kisha inabadilishwa kwenda kwenye assembly language kisha assembler inabadilisha assembly language kuwa machine language,computer haielewi lugha yoyote isipokuwa machine language
 
Ulijifunza mwenyewe?
Siku hizi kuna templates ziko tayari, waweza tumia WYSISYG, joomla na zingine nyingi tu. Sema binafsi sipendi kutumia templates ndiyo mana sizifatilii sana na mimi natengeneza sana web Application zaidi. Jifunze kwa bootstrap itakuweka sehemu nzuri sana. Mimi natumia Aspx +C# na kwa database SQL.
 
Kijana naona unapambana na c++ sana.
Ni vizur.. lakin kqa experience yangu c++peke yake haitoshi.
And ulichoandika ni simple codes tu.
In real world ni more than that.
Atlest jifunze lugha 5 za programming ili uweze kuwa competitive kwenye ajira.
Ndio nimeanza kujifunza chifu,hata hao wanaotengeneza application kubwa walianza kujifunza kwa level ya chini.kuna watu wamemaliza BSc in Comp Science hata kuandika mistari ya code kama hiyo hawawezi.Hapa nimesoma kidogo tu lakini nimetengeza kitu useful nikichimba zaidi nitafika mbali chief
 
Good. Lakin unaongea na developer mzoefu.kwa muda mrefu nimekuwa kwenye hiyo field. Nimefanyasha tengeneza softwares ..na systems kibao. Take it from me in the future..programmer atakuwa required kujua language zaid ya moja.
It happens now.
Anyway nikutakie safari njema. Kama una nia utafika mbali
 
Cascading Style Sheet ni kwenye web ndio mahala pake kwa ajili ya muenekano wa webpage mfano humu jf.CSS ni interpreted language maana yake ni kwamba web browser ndio inatafsiri CSS na kuzifanyia kazi ila programming language inakuwa analyzed na compiler kisha inabadilishwa kwenda kwenye assembly language kisha assembler inabadilisha assembly language kuwa machine language,computer haielewi lugha yoyote isipokuwa machine language
Asante sana,taratibu nitapata kufahamu jambo
 
Siku hizi kuna templates ziko tayari, waweza tumia WYSISYG, joomla na zingine nyingi tu. Sema binafsi sipendi kutumia templates ndiyo mana sizifatilii sana na mimi natengeneza sana web Application zaidi. Jifunze kwa bootstrap itakuweka sehemu nzuri sana. Mimi natumia Aspx +C# na kwa database SQL.
Asante sana.
 
Back
Top Bottom