Ni Programming Language gani unaisoma sasa?

Ni Programming Language gani unaisoma sasa?

Good. Lakin unaongea na developer mzoefu.kwa muda mrefu nimekuwa kwenye hiyo field. Nimefanyasha tengeneza softwares ..na systems kibao. Take it from me in the future..programmer atakuwa required kujua language zaid ya moja.
It happens now.
Anyway nikutakie safari njema. Kama una nia utafika mbali
Unatumia program language zipi kutengeneza software,
 
Ukitaka uive kwenye haya mambo inabidi ujitoe kwelikweli usome,uwe mbunifu maana unaweza ukajifunza coding lakini ukashindwa kutengeneza kitu useful
Sawa kabisa,nazingatia ushauri wenu.
 
Kirus kqa batchfile unatengeneza simple virus. Ambae antivirus za kawaida zinamuona. Ww mwenyewe unaweza kisaka kwa cmd na ukakimaliza.
Virus wa sasa wamatengezwa na java, c++.
Hawa wanauwezo wa kuangusha hata mabenki ..stock markets..na kadhalika
Uko sahihi mkuu, ndiyo mana nilimaanisha simple virus, kwa sasa dunia iko mbali sana ambapo waweza tumia technics anti-virus wasikione
 
Hii nayo hufanyika vipi na naweza kutumia notepad hiyo hiyo kutengeneza antvirus ?
Ndiyo, Unaweza japo ni rahisi sana anti-virus kugundua virusi wa aina hiyo, lakini waweza tumia technics simple ambazo anti-virus hawana signatures nazo ukaweza. Anyway it's illegal kutengenezea virus, mind that.
 
Good. Lakin unaongea na developer mzoefu.kwa muda mrefu nimekuwa kwenye hiyo field. Nimefanyasha tengeneza softwares ..na systems kibao. Take it from me in the future..programmer atakuwa required kujua language zaid ya moja.
It happens now.
Anyway nikutakie safari njema. Kama una nia utafika mbali
Naomba kujuzwa sababu ya hii "Vshost32.exe has stopped working", huwa inasababishwa na nini ktk visual studio?
 
Naomba kujuzwa sababu ya hii "Vshost32.exe has stopped working", huwa inasababishwa na nini ktk visual studio?
Inatokana na visual studio hosting process kushindwa kufanya kazi on particular project.
So unachofanya hapa ni ku disable "visual studio hosting process"
Iko kwenye project properties
 
Unatumia program language zipi kutengeneza software,
Depends with project yenyewe ikoje. Si kila project unatumia language moja . Kila language ina disadvantages na advantages.
So kujib swali lako kwanza Java, Python, C++,C#
Kwa web apps natembea na java scripts sana.
 
Basi sawa, javascript kwenye web programming maana yake ni unadeal na client side sio server side
 
Depends with project yenyewe ikoje. Si kila project unatumia language moja . Kila language ina disadvantages na advantages.
So kujib swali lako kwanza Java, Python, C++,C#
Kwa web apps natembea na java scripts sana.
Mkuu kwenye wep app unatembea sana na java script, una maana gani? Kwamba unatumia java script pekee? (which is not possible) au mimi ndiyo sijaelewa??
 
Kwa aliye tayari naweza mfundisha jinsi ya kutumia more than one project in one solution(lets call it four/three tier architecture methodology) and how to manage it using different languages but those ones support OOP.
 
Mkuu kwenye wep app unatembea sana na java script, una maana gani? Kwamba unatumia java script pekee? (which is not possible) au mimi ndiyo sijaelewa??
Namaanisha web app. Sio app. Nadhani ujasoma vizuri.
Java script.ina library nyingi sana za ku make web app.
Kuna Angular.js, Vue.js ,backbone.js.
And yes it is very possible.
 
Good. Lakin unaongea na developer mzoefu.kwa muda mrefu nimekuwa kwenye hiyo field. Nimefanyasha tengeneza softwares ..na systems kibao. Take it from me in the future..programmer atakuwa required kujua language zaid ya moja.
It happens now.
Anyway nikutakie safari njema. Kama una nia utafika mbali

Sasa unamshauri nini haswa, maana yeye ni binadamu na sio mashini, lazima aanze kwa lugha moja kabla ya kutapatapa....
Na pia sio lazima ujue lugha tano ndio uwe competitive, kimsingi ili uwe competitive lazima ujue kutoa solutions zinazofanya kazi na kutatua matatizo kwenye jamii, haijalishi kama unajua lugha ishirini au tatu.
Vijana wengi hujaza majina ya lugha wanazozijua kwenye wasifu, lakini ukimhoji system ipi kakamilisha sehemu na inatumika na inasaidia kutatua matatizo, unakuta hana chochote cha maana cha kuonyesha.
So, muhimu kwa vijana kujifunza kutengeneza solutions, hapa namaanisha whole lifecycle ya software development, kuanzia kwenye feasibility, planning, kuja kwenye analysis, execution, tests, UAT mpaka project closure. Hii itamsaidia zaidi, sio kuhangaika kujaza lugha nyingi ambazo hata baadhi hatawahi kuzitumia.

Wakati naanza programming, nilijitesa kwa kukimbizana na lugha, nilizoma zaidi ya ishirini lakini mwisho najikuta hata nimesahau jinsi ya kufanya hello world kwenye asilimia kubwa ya hizo lugha. Yaani nimesahau kila kitu.
 
Back
Top Bottom