Ni Programming Language gani unaisoma sasa?

Ni Programming Language gani unaisoma sasa?

Programmer siku zote hachagui language ndo mana akaitwa programmer yeye anaface project na kutumia language uliyopo mda huo kwenye project

Jifunze language Moja in deep hapo ni sawa umejua zote misingi ni ile ile (C++ ukiijua in deep ushamalza kla kitu)

languages zinatifautiana kwenye performance akuna language duniani iliyopo 100% perfect case hii inasababisha kutumia language nyingi kufanya project moja
Unazijua programming lang zipi mkuu
 
Ambao mmeanza from scratch ni vyema muweke na vitabu mlivyo soma sio lazima pdf mnaeza weka jina tu lakitabu sisi wafia tech tukajitaftia maana nasoma naona mzozo yani inshort amjasolve problm hata uku mtufanye tuwe wengi mbona wengi wetu tuna passion nzuri tu ya kujifunza utajiskiaje kesho ukawa vip wangu kwa kukualika katika uzinduzi wa kampuni yangu

Help those who need maguru wa programming msizozane saidianeni
 
Habari niko pekee yaani siko na uwezo au mtu wa kunifunza, je naweza kusoma lugha gani
 
Learn Python in one day and Learn IT WELL.
---------------------------------------------------------
The only book you need to start coding in Python immediately.

Python for beginners with Hands-on Project
LEARN CODING FAST
By Jamie Chan

"The best way of learning about anything is by doing "
-Richard Branson

uko interested na language ipi mkuu
Ambao mmeanza from scratch ni vyema muweke na vitabu mlivyo soma sio lazima pdf mnaeza weka jina tu lakitabu sisi wafia tech tukajitaftia maana nasoma naona mzozo yani inshort amjasolve problm hata uku mtufanye tuwe wengi mbona wengi wetu tuna passion nzuri tu ya kujifunza utajiskiaje kesho ukawa vip wangu kwa kukualika katika uzinduzi wa kampuni yangu

Help those who need maguru wa programming msizozane saidianeni
 
nlijifunza na c na c++
kuna project nkafanya na java na ingine c#
una adapt tu language huna haja ya kujua zote
Hivi kuna borland c++ IDE ya kurahisisha kutengeneza App yaani ambayo inakuwezesha kudrag na kudrop controls kama textbox na buttons kwenye form .
 
Nipo katika safari ndefu ya kujifunza computer programming.Sasa hivi ninajifunza Fortran na c++.Fortran ni kifupi cha Formula Translation. Fortran ni language ambayo ni very powerful na application zake zinatumika kwenye systems zinazodeal na scientific na engineering computations Yaani mahali panapohitajika mathematical calculations nyingi mfano kwenye mambo ya anga

Nipo kwenye level ya kuanza.Hapo chini ni code na output windows zinazoonyesha matokeo ya ufanyaji kazi wa code hizo baada ya ku compile code kwenda kwenye Machine Language na kuzirun.Namna nzuri ya kuanza kujifunza programming ni kuanza kutengeneza Console Applications ambazo program input na output zinakuwa

Kwenye DOS window kama inavyoonekana hapo chini

Program 1

View attachment 1467243
View attachment 1467245

Program 2
View attachment 1467246

View attachment 1467248

Program 3

View attachment 1467249

View attachment 1467250

Program 4 c++ program

View attachment 1467254
View attachment 1467255

Program 5
View attachment 1478835

View attachment 1478840

Program 6
View attachment 1481505

View attachment 1478844
Mpwa kazana programing wekeza muda mwingi kujifunza , haswa unapotoa darasani hakikisha unatumia hata nusu saa kurudia , pia CSS and JavaScript hakikisha unazielewa vema .
 
Ndio nimeanza kujifunza chifu,hata hao wanaotengeneza application kubwa walianza kujifunza kwa level ya chini.kuna watu wamemaliza BSc in Comp Science hata kuandika mistari ya code kama hiyo hawawezi.Hapa nimesoma kidogo tu lakini nimetengeza kitu useful nikichimba zaidi nitafika mbali chief

Hahahha,wabongo bana eti kuandika vicode vichache ushaanza kuwasema watu na taaluma zao kujifunza code peke yako ndani it’s not enough,kuna mambo mengi ya coding ambayo yatahitaji general knowledge ya computer mara nyingi utapata ukiwa college
 
Ok
 
Mpwa kazana programing wekeza muda mwingi kujifunza , haswa unapotoa darasani hakikisha unatumia hata nusu saa kurudia , pia CSS and JavaScript hakikisha unazielewa vema .
Yup mpwa nazingatia hayo
 
Samahani ningependa kujua, ivi kwa upande wa elimu kozi gani ambayo inadeal na ayo mambo ya "programming"
.
Huwa nataman sana kujifunza, nipeni mwanga nianzie wapi
 
course yoyote ya IT certifacate,diploma degeree programming utaikuta pia unaweza jifunza mwenyew bila hata kuenda shule ni kujituma tu mwenyew
 
Ambao mmeanza from scratch ni vyema muweke na vitabu mlivyo soma sio lazima pdf mnaeza weka jina tu lakitabu sisi wafia tech tukajitaftia maana nasoma naona mzozo yani inshort amjasolve problm hata uku mtufanye tuwe wengi mbona wengi wetu tuna passion nzuri tu ya kujifunza utajiskiaje kesho ukawa vip wangu kwa kukualika katika uzinduzi wa kampuni yangu

Help those who need maguru wa programming msizozane saidianeni
Unataka kusoma programming gani mkuu
 
Back
Top Bottom