Ni kweli uko sahihi, I lakini kuna njia waweza fanya file lika execute bila human enteraction. Mojawapo ambayo ni rahisi ni kama kuliweka ndani ya startup folder (shell:startup)Sir huwezi tengeneza na ika-run nimefanya mara kadhaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli uko sahihi, I lakini kuna njia waweza fanya file lika execute bila human enteraction. Mojawapo ambayo ni rahisi ni kama kuliweka ndani ya startup folder (shell:startup)Sir huwezi tengeneza na ika-run nimefanya mara kadhaa
Wapo baadhi vilaza na ninawajua ndio maana nikasema hivyo inawezekana wewe ni mmoja wao naona imekugusaNdo mnavyodanganyana hivyo kuwa kuna graduates wa CS hawawezi kuandika simple code kama hiyo!
Huko kwangu unapotaka kwenda hutapaweza!Wapo baadhi vilaza na ninawajua ndio maana nikasema hivyo inawezekana wewe ni mmoja wao naona imekugusa
samahani eti mimi pia napenda sana mambo ya computing,software development na hacking courses unaweza nielekeza jinsi gani naweza kupata materials kama vitabu vya computing na hacking? hata mambo yanayoweza kuelezea kuhusu kali linux nitashukuru sana.Nipo katika safari ndefu ya kujifunza computer programming.Sasa hivi ninajifunza Fortran na c++.Fortran ni kifupi cha Formula Translation. Fortran ni language ambayo ni very powerful na application zake zinatumika kwenye systems zinazodeal na scientific na engineering computations Yaani mahali panapohitajika mathematical calculations nyingi mfano kwenye mambo ya anga
Nipo kwenye level ya kuanza.Hapo chini ni code na output windows zinazoonyesha matokeo ya ufanyaji kazi wa code hizo baada ya ku compile code kwenda kwenye Machine Language na kuzirun.Namna nzuri ya kuanza kujifunza programming ni kuanza kutengeneza Console Applications ambazo program input na output zinakuwa
Kwenye DOS window kama inavyoonekana hapo chini
Program 1
View attachment 1467243
View attachment 1467245
Program 2
View attachment 1467246
View attachment 1467248
Program 3
View attachment 1467249
View attachment 1467250
Program 4 c++ program
View attachment 1467254
View attachment 1467255
samahani unaweza ukaniazima hizo notes au kunielekeza ni shemu gani naweza kuzipata hizo notes?Nina notes za haya madude nilizichukua kutoka kwa washkji zangu waliokuwa wanasoma IT, Ngoja nianze kula msuli, nataka kutengeneza ka website kangu tu.
Da umejibu vizuri sana,watu wengine ni magumu kuelewa,kwenye maelezo yangu nimesema ndio nimeanza kusoma,nashangaa ananiambia sijui kitu nilichoandika sijui ni simple,Haoni kwamba kwa mtu anayejifunza hii hatua nzuri maana sio wote wanaosoma programming wanauwezo wa kutengeneza hata kitu simple tu.Anatakiwa atambue hakuna mtu aliyeanza kusoma programming leo eti kesho akatengeneza application kubwa kama Ms Word,kama yupo anayedai alifanya hivo huyo ni muongo.Mi nadhani huyu ni aina ya watu wasiopenda wengine wajue vitu kwa kukatisha tamaaSasa unamshauri nini haswa, maana yeye ni binadamu na sio mashini, lazima aanze kwa lugha moja kabla ya kutapatapa....
Na pia sio lazima ujue lugha tano ndio uwe competitive, kimsingi ili uwe competitive lazima ujue kutoa solutions zinazofanya kazi na kutatua matatizo kwenye jamii, haijalishi kama unajua lugha ishirini au tatu.
Vijana wengi hujaza majina ya lugha wanazozijua kwenye wasifu, lakini ukimhoji system ipi kakamilisha sehemu na inatumika na inasaidia kutatua matatizo, unakuta hana chochote cha maana cha kuonyesha.
So, muhimu kwa vijana kujifunza kutengeneza solutions, hapa namaanisha whole lifecycle ya software development, kuanzia kwenye feasibility, planning, kuja kwenye analysis, execution, tests, UAT mpaka project closure. Hii itamsaidia zaidi, sio kuhangaika kujaza lugha nyingi ambazo hata baadhi hatawahi kuzitumia.
Wakati naanza programming, nilijitesa kwa kukimbizana na lugha, nilizoma zaidi ya ishirini lakini mwisho najikuta hata nimesahau jinsi ya kufanya hello world kwenye asilimia kubwa ya hizo lugha. Yaani nimesahau kila kitu.
Ndugu mtandao una kila kitu ni wewe tu kuwa na bundle la kutosha.Huko unakotaka kufika si Pepesi kama unavyodhani japo inawezekana kupafikia kwa kujitoamuhanga .Kwanza kabisa uiosome computer from the lowest level to the highest level,soma networking kwa maana hacking mara nyingi zinafanyikia kwenye ulimwengu wa networking ,soma low level programming langages kama assembly language pia high level programming language kama c,c++ na nyinginezo pia ili uweze kumaster programming uwe unapractice sana kwa kujaribu kusolve problems mbalimbali kwa kutumia programming unayoisoma.samahani eti mimi pia napenda sana mambo ya computing,software development na hacking courses unaweza nielekeza jinsi gani naweza kupata materials kama vitabu vya computing na hacking? hata mambo yanayoweza kuelezea kuhusu kali linux nitashukuru sana.
Uniharibie uzi kwa namna gani matusi,dharau,kebehi au na nini,si lengo langu kumdhihaki mtu ila nachoongea ni kweli ukatae ukubali kuna baadhi ya watu wamemaliza chuo tena Comp Sci hawawezi kutengeneza hata simple App.Nadhani kiswahili ni lugha nyepesi ni matumaini yangu utanielewa ninapotumia neno baadhi.Pia jambo lingine jema zaidi iwapo nawe ni mtu wa comp sci unaweza kuleta mchango wako humu kwa lengo la kubadilishana ujuzi na kujifunza kutoka kwa mwingine.Huko kwangu unapotaka kwenda hutapaweza!
Hakuna mtu aliyesoma miaka minne halafu akashindwa kuandika hiyo simple code!
Ngoja nisikuharibie uzi wako na juhudi zako tu.Endelea kukomaa.
Nini inakuwaje mkuu sijakuelewaHii inakuwaje hii.
Hapana mkuu kwenye eneo lake javascript inapotakiwa inapower yakeUnai underestimate JavaScript mkuu.
Hawa jamaa wanakuwa kama hawatambui misingi ya kusolve problems ni mizuri kuliko kujua kila programming language mfano hii Fortran nayoisoma ni ya the oldest language lakini lengo langu ni kuanza chini kabisa sidhani kama itakuwa mtu vema anayesoma mtu programming aanza na malugha ya kisa kama Visual Basic eti aanze kudeal na magraphical user interface kwanza kabla hajaanza na Console Applications kama hizi.Maana hizi GUI hata mtu aliyeanza kusoma comp jana anaweza kuzitengeneza.Unackokifikiria wewe naona kina mashiko.Kuliko kuhang hang au tuseme kujua language nyingi nusu nusu nadhani ni bora kuwa competent kwenye language moja kisha nyingine zinafuata mfano mimi kwenye VB nipo vizuri tayari nikaona niongeze na language nyingine inamaana hapa nataka niijue fortran,nikitoka fortran java nikitaka java c++Sio ushauri mzuri kumwambia mtu aanze kujifunza programming kwa kutapatapa kwenye lugha nyingi, anapaswa ajifunze moja na kujisindika kabisa, hiyo moja imfundishe principles muhimu za software development, kisha baada ya hapo ndio aanze kutafuna lugha zingine huko nje. Ni kama ilivyo kwenye lugha tunazoongea, lazima uifahamu lugha moja kwanza, hususan lugha ya mama, halafu hiyo moja itakupa muongozo wa kimaisha.
Sasa baadaye ndio uanze kujifunza lugha zingine za kukuwezesha kuongea na watu wasio wa lugha yako.
Kwenye programming uhitaji wa kujua lugha zingine mara nyingi hutokana na mahitaji unayokumbana nayo, mimi hapa kuna lugha nilijifunza kweye mradi ambao mteja alisisitiza ufanywe kwenye hiyo lugha, ila nilipokamilisha huo mradi, miaka imepita zaidi ya mitano sijapata mradi mwingine unaohusu kutumia hiyo lugha, na nimeishau wala hata sikumbuki chochote kuihusu, hata siwezi kuandika sentensi moja ndani yake ilhali niliwahi kukamilisha mradi tena mkubwa kwa kuitumia.
Ulimwengu wa programming ni mpana sana, ukiingia kichwa kichwa bila mkakati wowote utaangukia pua na kuchukia sana na kupoteza muda wako bure. Hapa nina uzoefu wa kama miaka kumi hivi kwenye programming lakini bado huwa najiona mchanga, bado najifunza na kutafiti kila siku, najihisi kama tone baharini...
Lakini kuna programming language bila shaka ni General purposeSolution ni basicof programming. Hilo ni la kawaida.
Lugha nyingi inakusaidia kuwa adaptive kwenye project mbali mbali kwa kutumia lugha tofauti.
Knowing si project zote utafanya kwa language moja.
Bado sijawa mature ila pia am not a biginerType uzoefu wako mkuu kuhusu python inaweza kutengeneza robust app
Javascript inagusa kote, kuanza web front end, back end mpaka mobile app development..Basi sawa, javascript kwenye web programming maana yake ni unadeal na client side sio server side
Haha Hiyo variable aliyoipass kwa print itakuwa flagged kama undeclaredHehehehe....Hapo tayari utapata error, check casing ya variable Mk254 ni tofauti na argument uliyotupia kwenye print()...
Haha Hiyo variable aliyoipass kwa print itakuwa flagged kama undeclaredHehehehe....Hapo tayari utapata error, check casing ya variable Mk254 ni tofauti na argument uliyotupia kwenye print()...