Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
- Thread starter
-
- #61
Nawashukuru wote mlionisaidia kimawazo. Nitayafanyia kaz maoni yenu nikiwa naamini kuwa Mungu atanisaidia katika hili.. Naishukuru JF sana kwa sababu imekuwa msaada mkubwa kwangu... Viva JF..
Dah, mkoloni naona ulishindwa kumsoma vizuri huyo businesi partner wako. Kuna uwezakano mkubwa kwamba yeye ndo mtu unayeweza kuishi naye na mkaendesha maisha vizuri. Hasa eneo la uchumi, sasa tulia kwanza, usiwe na haraka na huyu unayemwita mchumba, jipe muda wa kuituliza akili na nafsi yako kwanza. Angalia usije ukamkumbuka na kujutia maamuzi yako. Usiizingatie sana hiyo sitaki nataka, yawezekana kugoma kwake na kutoruhusu mapenzi mapema ndo kumesababisha hayo maendeleo. Zichange vizuri karata zako.
Sijambo mzee wangu,
Pasaka vipi lakini mzee, umekula peke yako.........
Dah yani mkoloni hapa Mzee, ajiandikie ana wake wawili, au ana mke na adui mmoja mkubwa sana, kama ataamua kuachana naye katika biashara na mambo mengine waliokuwa wanashirikiana.
Unajua hiyo ni kawaida yetu sisi wanawake tuliowengi, bado tunakasumba ya zamani eti HAPANA ndo maana yake NDIYO. Unaona sasa binti ataumia na kujuta maisha....alitaka abembelezweeee, Mkoloni ungemnunulia zeze huyo...but its too late. Usiumie wala nini achana naye.
nimesha mweleza mchumba wangu ila c unajua tena mambo ya wanawake yalvyo. Amekuwa akiniuliza mara kwa mara kuhusu huyo rafiki.
Kila kitu ni shwari..Pasaka ilienda vizuri...si unajua tena mzee mwenzangu akikamata usukani?
Huyu jamaa amechezea bahati...Huyo mfanyabiashara inawezekana alikuwa ndo chaguo ya Bwana Mungu ila ma-uzoefu ya ku-deal na totoz yalimwangusha. Hivi kweli mwanaume unaweza kutimua mbio eti kwa vile umeambia NO hata mara 70? Ilibidi kabla ya kuondoka atazame movie nzima. Inawezekanaje mtu akukatae halafu muendelee kufanya wote biashara? Labda kuna mambo hakutueleza au mimi ndo sielewi.
Kama ningekuwa mimi, ningetangaza kwamba nimefuta kabisa mipango ya kuoa na sijui nitao lini kwani naona watoto 2 wanataka kunipa kichaa. Baada ya hapo rafiki wa kweli angeonekana kwani angejitokeza kunipa tiba ya kisaikolojia. Huyo ndo ningebebana naye na kumwita ma-wife wangu.
Au wewe LD unaonaje?
naomba hiyo miwani yako
nimeipenda iko kama ya Kanye West..
niazime...mmmhhh
Kabisaaaaaaaa Babu, na mimi nikiangalia hapo, Mkoloni hakucheza kiume kabisa.
Haiwezekani mtu hakupendi halafu aendelee kufanya na wewe shughuli za maendeleo bwana.
Tena mi namsifu kwa jinsi alivyokubania mwanzo, manake wakati mwingine biashara au ishu muhimu za maendeleo, ukishaingiza mapenzi ndani yake, wala hazifanikiwi vizuri. Bora alivyogoma mambo yakakaa sawa kwanza. Sasa we mkoloni ukashindwa kusoma katikati ya mstari.
Kwanza angekua hakupendi angekuchuna, na yeye aanzishe cha kwake mwenyewe, lakini unaona anafanya kwa juhudi, moyoni akijua mpo pamoja. We Mkoloni wewe, acha ukoloni, utakuja kumkumbuka huyu dada nakwambia.
Nancy,
Unadhani mtu wa namna hiyo ambaye wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na kufanya mambo mengi ya maendeleo wataachana kirahisi? Sina hakika kama Mkoloni anao ujasiri wa kumwacha.. Kama anabisha aje atueleze. Ila pia soma maelezo yake toka mwanzo utajua ninalolisema!
...Yani ananiweka kwenye wakat mgumu kwan amekuwa akimchunia na hata kuonesha chuki ya wazi kabisa... Naombeni msaada wenu waungwana. Ninateseka sana.
uwiii jaman mbn nazd kuchanganyikiwa? Yani hayo maon yamenipa point flan hvi..
unfortunately nitofautiane nanyi kidogo waungwana...hebu wee mwanaume eleza vizuri...hukujihusisha kimapenzi na huyu 'business partner'...maana wivu huu si bure,yumkini umemtumia halafu unamtafutia visa bure bi dada wa watu! Sema kweli ikuweke huru!
Mkoloni, jiangalie vizuri bwana mzee,
Ungekua karibu na mimi hapa, nikushawishi uairishe mpango wa kuoa kwanza.
Yani ungekuwa kaka yangu wa karibu sanaaaaaa.
Au ningekuwa mama yakooooooo.
Mkoloni, jiangalie vizuri bwana mzee,
Ungekua karibu na mimi hapa, nikushawishi uairishe mpango wa kuoa kwanza.
Yani ungekuwa kaka yangu wa karibu sanaaaaaa.
Au ningekuwa mama yakooooooo.
Well km ndivyo basi nikuhakikishie huyu mwanadada ndo alitakiwa kua mkeo...
Kwa kutumia tu akili ya kawaida huyu binti asingekua na msimamo mngeishia kupotezeana muda tu kitandani na mwishowe hata biashara ingekufa lakini kwa kuonesha ujasiri alikuambia hapana..na bado mkaendelea kufanya biashara pamoja! Sipo moyoni mwako ila nikuhakikishie ulilofanya sasa la kuvisha sijui pete ni kumkomoa mwenzako na for sure utaregreat muda si mrefu! Nikutakie tu ndoa njema ila una muda wa kutafakari