Ni rafiki wa kawaida ila ana wivu wa kimapenzi.

Nawashukuru wote mlionisaidia kimawazo. Nitayafanyia kaz maoni yenu nikiwa naamini kuwa Mungu atanisaidia katika hili.. Naishukuru JF sana kwa sababu imekuwa msaada mkubwa kwangu... Viva JF..
 
naomba hiyo miwani yako
nimeipenda iko kama ya Kanye West..
niazime...mmmhhh
 
Dah, mkoloni naona ulishindwa kumsoma vizuri huyo businesi partner wako. Kuna uwezakano mkubwa kwamba yeye ndo mtu unayeweza kuishi naye na mkaendesha maisha vizuri. Hasa eneo la uchumi, sasa tulia kwanza, usiwe na haraka na huyu unayemwita mchumba, jipe muda wa kuituliza akili na nafsi yako kwanza. Angalia usije ukamkumbuka na kujutia maamuzi yako. Usiizingatie sana hiyo sitaki nataka, yawezekana kugoma kwake na kutoruhusu mapenzi mapema ndo kumesababisha hayo maendeleo. Zichange vizuri karata zako.

Hujambo lakini LD?

Hata wewe umestuka eti? Ndo maana nikamwambia kuwa asipojipanga si muda mrefu atakuwa na wake wawili...officially or unofficially!

Mzee DC
 
Sijambo mzee wangu,
Pasaka vipi lakini mzee, umekula peke yako.........

Dah yani mkoloni hapa Mzee, ajiandikie ana wake wawili, au ana mke na adui mmoja mkubwa sana, kama ataamua kuachana naye katika biashara na mambo mengine waliokuwa wanashirikiana.
 
Kila kitu ni shwari..Pasaka ilienda vizuri...si unajua tena mzee mwenzangu akikamata usukani?

Huyu jamaa amechezea bahati...Huyo mfanyabiashara inawezekana alikuwa ndo chaguo ya Bwana Mungu ila ma-uzoefu ya ku-deal na totoz yalimwangusha. Hivi kweli mwanaume unaweza kutimua mbio eti kwa vile umeambia NO hata mara 70? Ilibidi kabla ya kuondoka atazame movie nzima. Inawezekanaje mtu akukatae halafu muendelee kufanya wote biashara? Labda kuna mambo hakutueleza au mimi ndo sielewi.

Kama ningekuwa mimi, ningetangaza kwamba nimefuta kabisa mipango ya kuoa na sijui nitao lini kwani naona watoto 2 wanataka kunipa kichaa. Baada ya hapo rafiki wa kweli angeonekana kwani angejitokeza kunipa tiba ya kisaikolojia. Huyo ndo ningebebana naye na kumwita ma-wife wangu.

Au wewe LD unaonaje?
 
Unajua hiyo ni kawaida yetu sisi wanawake tuliowengi, bado tunakasumba ya zamani eti HAPANA ndo maana yake NDIYO. Unaona sasa binti ataumia na kujuta maisha....alitaka abembelezweeee, Mkoloni ungemnunulia zeze huyo...but its too late. Usiumie wala nini achana naye.
 
Nancy,

Unadhani mtu wa namna hiyo ambaye wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na kufanya mambo mengi ya maendeleo wataachana kirahisi? Sina hakika kama Mkoloni anao ujasiri wa kumwacha.. Kama anabisha aje atueleze. Ila pia soma maelezo yake toka mwanzo utajua ninalolisema!
 
nimesha mweleza mchumba wangu ila c unajua tena mambo ya wanawake yalvyo. Amekuwa akiniuliza mara kwa mara kuhusu huyo rafiki.

dah,yani nimeshatoa maelezo afu bado naulizwa kitu hicho hicho daily!?,naweza nikawa naahirisha kurudi aisee!inakera sana,pole mkuu
 
Kila kitu ni shwari..Pasaka ilienda vizuri...si unajua tena mzee mwenzangu akikamata usukani?

Huyu jamaa amechezea bahati...Huyo mfanyabiashara inawezekana alikuwa ndo chaguo ya Bwana Mungu ila ma-uzoefu ya ku-deal na totoz yalimwangusha. Hivi kweli mwanaume unaweza kutimua mbio eti kwa vile umeambia NO hata mara 70? Ilibidi kabla ya kuondoka atazame movie nzima. Inawezekanaje mtu akukatae halafu muendelee kufanya wote biashara? Labda kuna mambo hakutueleza au mimi ndo sielewi.

Kama ningekuwa mimi, ningetangaza kwamba nimefuta kabisa mipango ya kuoa na sijui nitao lini kwani naona watoto 2 wanataka kunipa kichaa. Baada ya hapo rafiki wa kweli angeonekana kwani angejitokeza kunipa tiba ya kisaikolojia. Huyo ndo ningebebana naye na kumwita ma-wife wangu.

Au wewe LD unaonaje?

Kabisaaaaaaaa Babu, na mimi nikiangalia hapo, Mkoloni hakucheza kiume kabisa.
Haiwezekani mtu hakupendi halafu aendelee kufanya na wewe shughuli za maendeleo bwana.

Tena mi namsifu kwa jinsi alivyokubania mwanzo, manake wakati mwingine biashara au ishu muhimu za maendeleo, ukishaingiza mapenzi ndani yake, wala hazifanikiwi vizuri. Bora alivyogoma mambo yakakaa sawa kwanza. Sasa we mkoloni ukashindwa kusoma katikati ya mstari.

Kwanza angekua hakupendi angekuchuna, na yeye aanzishe cha kwake mwenyewe, lakini unaona anafanya kwa juhudi, moyoni akijua mpo pamoja. We Mkoloni wewe, acha ukoloni, utakuja kumkumbuka huyu dada nakwambia.
 
uwiii jaman mbn nazd kuchanganyikiwa? Yani hayo maon yamenipa point flan hvi..
 
Nancy,

Unadhani mtu wa namna hiyo ambaye wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na kufanya mambo mengi ya maendeleo wataachana kirahisi? Sina hakika kama Mkoloni anao ujasiri wa kumwacha.. Kama anabisha aje atueleze. Ila pia soma maelezo yake toka mwanzo utajua ninalolisema!

moyo unakuwa mzito kuchukua maamuz mabaya dhidi yake(bussnes partner) na pia naumia zaid huyu mke wangu mtarajiwa anapokosa amani.. Hapa inanibid nikubal kupoteza kimoja la sivyo ntakufa kwa mawazo.
 
unfortunately nitofautiane nanyi kidogo waungwana...hebu wee mwanaume eleza vizuri...hukujihusisha kimapenzi na huyu 'business partner'...maana wivu huu si bure,yumkini umemtumia halafu unamtafutia visa bure bi dada wa watu! Sema kweli ikuweke huru!
 
...Yani ananiweka kwenye wakat mgumu kwan amekuwa akimchunia na hata kuonesha chuki ya wazi kabisa... Naombeni msaada wenu waungwana. Ninateseka sana.

hapo kwenye red, anakuwaje kwenye wakati mgumu wakati is just a friend umeamua kuoa mwingine baada ya yeye kukukataa. be a man tell her na ikiwezekana drop that non sense friendship, utaishia kumfanya nyumba ndogo na ndoa yako itavurugika.
 
uwiii jaman mbn nazd kuchanganyikiwa? Yani hayo maon yamenipa point flan hvi..

Mkoloni, jiangalie vizuri bwana mzee,
Ungekua karibu na mimi hapa, nikushawishi uairishe mpango wa kuoa kwanza.

Yani ungekuwa kaka yangu wa karibu sanaaaaaa.
Au ningekuwa mama yakooooooo.
 
unfortunately nitofautiane nanyi kidogo waungwana...hebu wee mwanaume eleza vizuri...hukujihusisha kimapenzi na huyu 'business partner'...maana wivu huu si bure,yumkini umemtumia halafu unamtafutia visa bure bi dada wa watu! Sema kweli ikuweke huru!

sikuwah kufanya naye mapenz hata sikumoja na pia cjawah kuwa uhusiano wa kimapenz na huyu b mdada.
 
Mkoloni, jiangalie vizuri bwana mzee,
Ungekua karibu na mimi hapa, nikushawishi uairishe mpango wa kuoa kwanza.

Yani ungekuwa kaka yangu wa karibu sanaaaaaa.
Au ningekuwa mama yakooooooo.

LD,

Kila ninaposoma maelezo ya Mkoloni natapa wasi wasi na yeye. Labda atakubali hiyo ofa uliyompatia ili apate ushauri wa bure. Akifika ofisini kwetu tutaomba malipo...Hakuna hudua ya bure!

Ila asipoangalia huko mbele ya safarai ataitwa mwanamume suruali...hawezi kuchukua maamuzi mazito!!
 
Well km ndivyo basi nikuhakikishie huyu mwanadada ndo alitakiwa kua mkeo...
Kwa kutumia tu akili ya kawaida huyu binti asingekua na msimamo mngeishia kupotezeana muda tu kitandani na mwishowe hata biashara ingekufa lakini kwa kuonesha ujasiri alikuambia hapana..na bado mkaendelea kufanya biashara pamoja! Sipo moyoni mwako ila nikuhakikishie ulilofanya sasa la kuvisha sijui pete ni kumkomoa mwenzako na for sure utaregreat muda si mrefu! Nikutakie tu ndoa njema ila una muda wa kutafakari
 
Mkoloni, jiangalie vizuri bwana mzee,
Ungekua karibu na mimi hapa, nikushawishi uairishe mpango wa kuoa kwanza.

Yani ungekuwa kaka yangu wa karibu sanaaaaaa.
Au ningekuwa mama yakooooooo.

ndo nipo kwenye mchakato wa kushuriana na baadh ya ndugu kuhusu hl swala la kuahrisha haruc.. Kinachoniuma zaid ni ile pete ya uchumba nlo mvisha huyu bnt mtarajiwa wangu...
 
Well km ndivyo basi nikuhakikishie huyu mwanadada ndo alitakiwa kua mkeo...
Kwa kutumia tu akili ya kawaida huyu binti asingekua na msimamo mngeishia kupotezeana muda tu kitandani na mwishowe hata biashara ingekufa lakini kwa kuonesha ujasiri alikuambia hapana..na bado mkaendelea kufanya biashara pamoja! Sipo moyoni mwako ila nikuhakikishie ulilofanya sasa la kuvisha sijui pete ni kumkomoa mwenzako na for sure utaregreat muda si mrefu! Nikutakie tu ndoa njema ila una muda wa kutafakari

mkuu nashukuru kwa maono yako ila ningependa kukwambia kuwa hapa hakuna tena suala la ndoa wala uchumba. Nimewaambia wote kuwa nahtaj muda wa kuwa peke yangu il nitafakar mambo mawil matatu hvi.. Nadhan ntapata jibu ambalo ctalijutia maishani mwangu.
 
Back
Top Bottom