Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

Vitu 2 unavyovijua humu JF ni kumtaja Le mutuz na Waganga wa January Makamba only.

Empty set.
Wewe unajua nini zaidi ya kukariri zidumu fikra zako za kishamba yaani hutaki Le mutuz atajwe kisa ni boss wako? Acha ushamba wako nenda kojoa ulale huna hoja
 
Wewe unajua nini zaidi ya kukariri zidumu fikra zako za kishamba yaani hutaki Le mutuz atajwe kisa ni boss wako? Acha ushamba wako nenda kojoa ulale huna hoja
Waganga wa January Makamba wako wapi sa hivi?hahah
 
Umeona si kila tetesi ni za kupuuza
 
Umeona si kila tetesi ni za kupuuza
 


Ukipenda unaweza kunipa credits kwa post yangu hiyo hapo juu

cc: VAN persi
 
 
Membe ataingia chadema kwaushawishi wa nyalandu kisha chadema wata bow down na kumpa kijiti,lisu atamaindi lkn atapewa ahadi ya uwaziri mkuu na uenyekiti wa chama. M Atatimua vumbi lakini magufull atapita kimbinde... Utatafutwa muafaka wa kitaifa ndipo Lissu atapokuwa waziri wa sheria na mbowe wa maji...isivyotegemewa upinzani watapata viti vya ubunge zaidi ya vile vya 2015. Utabiri utaendelea...
 
Haiingii akilini kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…