Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

hata siku moja majasusi sio watu wa kuwa amini kirahisi rahisi mzee... na awezi kukamini asilimia zote...
 
una zungumzia kachero Zitto?? au kachero mrema basi usi msahau kachero maarim seif... na kachero wa uchumi prof.
 
Ukachero unapewa nguvu sana kipindi hiki kwa sababu hata na Ikulu yenyewe wamewekeza huko kuliko kuhudumia wananchi...na tatizo ni hali tete ya Urais wa Magu, hakushinda uchaguzi kupitia sanduku la kura...so ili kukabiliana naye lazima washindani wake pia wapite mlemle, na yeye unamwona jinsi anavyojigamba kila mahali kujizungushia lundo kubwa la makachero kila mahali anapokwenda, hata anapokwenda msalani!
 
Endeleeni na story hizo, 2015 sio mbali sana Rais atakuwa mwanamke, Ama Mzazibar au Mpinzani. 2020 JPM anashinda kwa kura nyingi zaidi ya zile za 2015.
 

The fact is: Lowassa na Sumaye kama MaWaziri Wakuu wastaafu, wataendelea kuwa CHADEMA au watarudi kundini kwao kwa zamani. Hawawezi wakafanya kitu tofauti na hayo mawili. Kuna kitu (something very huge) kinaedndelea nyuma ya pazia ambacho wengi hatukijui na wala hatuelewi. Kumbuka mkutano wa viongozi wastaafu siku kadhaa nyuma hapo Nyumba Nyeupe. Huo mkutano haukuwa wa kisiasa bali utakuwa ulikuwa unahusu briefing ya matukio muhimu ndani ya nchi, kuanzia tetemeko la Kagera mpaka MV, no nadhani Mv kipindi hicho ilikuwa bado. Kuna mambo mengi sisi as laymen, hatuyaelewi na watu wa usalama sasa huwa awana press release! Naomba watu wawe wanachukua moja kichwani, wasiwe wanaona siasa tu kila kitu!
 
mkiambiwa usicheze na dola ni mambo kama haya,fedha ya Gaddafi inafukuliwa
 
White air jua mkwe wake mwaka wa tatu yuko nyuma ya nondo toka kwa Mr chuki,alafu ni born town,akuja mjini mkubwa anajua kucheza na kamba za ndoano ya mvuvi,mvuvi anatumia nguvu zaidi kuliko akili ya kucheza na samaki Sababu ya matumizi ya nguvu kuliko sayansi ya timing ataliwa kichwa,
Membe angekuwa smart, angemaliza tofauti na Edo kwanza then ndiyo aliamshe...........
Hapa naona JPM anatumia majeshi ya kukodi toka kwa Team Edo.........
 
Jua yote alinyea kambi akakanyaga vichwa vya wazee,watamla kipwani si unajua sie watu wa pwani wazee wa vikao vya siri tuko nawe tunasema hamna shida wala usijali tuko pamoja ukitupa kisogo tu umeliwa kichwa,team bush inatumia nguvu zaidi mambo ya old school kwenye dotcom generation,
 
Sina hakija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…