Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mzee kazi kupiga tu makelele na kuropoka hovyo mpaka anamuoza mama yake Mzazi kwa jogoo😀😀Huwezi kufanya mdahalo na mtu mwenye mdomo kama choo cha stand. Asiye na speed limit, nidhamu na Afya ya ubongo. Ni watu wenye matatizo ya kufikiri tu. Wanaomshabikia.
Nasubiri kuona kura za mitandaoni.
Maendeleo siyo vitu dogo. Magu anatumia Kodi zetu vibaya, hakuna kitu amefanya zaidi ya kukopa nje na kutumbua na mpwa wake tu. amejenga uwanja kijijini kwake bila idhini ya. BungeUongozi Sio midahalo Ni Watu kuona ulichofanya Cha maendeleo .Lisu aonyeshe maendeleo aliyofanya jimboni kwake alipokuwa mbunge na Magufuli aonyeshe maendeleo aliyofanya jimboni kwake alipokuwa mbunge na Raisi
Lisu Makamu mwenyekiti Chadema hawana hata jengo la makao makuu ya chadema waliyojenga hawana Cha kuonyesha zaidi ya kuchonga midomo kwenye midahalo