Uchaguzi 2020 Ni rahisi kukausha bahari ya Hindi kuliko Magufuli kukubali kufanya mdahalo na Lissu

Kama kutakuwa na mwendesha mdahalo makini, Magufuli anaweza kushiriki vizuri.
Namkubali sana Magu, ila Baadhi ya Watanzania wanapenda kusikia kauli za matusi na kuchafua watu wengine.
Wakisikia maneno ya kashfa wanajua wana jembe, kumbe ni kamasi tu.
 
Huwezi kufanya mdahalo na mtu mwenye mdomo kama choo cha stand. Asiye na speed limit, nidhamu na Afya ya ubongo. Ni watu wenye matatizo ya kufikiri tu. Wanaomshabikia.
Nasubiri kuona kura za mitandaoni.
Kweli kabisa mzee kazi kupiga tu makelele na kuropoka hovyo mpaka anamuoza mama yake Mzazi kwa jogoo😀😀
 
Nadhani yale maombi anayotaka watz wamuombee kwa lazima sasa nitafunga na kuomba akubaki kufanya mdahalo na Tundu Lissu...
 
Maendeleo siyo vitu dogo. Magu anatumia Kodi zetu vibaya, hakuna kitu amefanya zaidi ya kukopa nje na kutumbua na mpwa wake tu. amejenga uwanja kijijini kwake bila idhini ya. Bunge
October tunakwenda kumfukuza ikulu
 
Mahojiano na vyombo vya habari anakimbia mdahalo na Lissu ndio aweze. itakuwa ndoto miaka mitano hata kuhojiwa na TBC kashindwa. Magufuli kazi anayo iweza ni maigizo ya kujifanya mzalendo kumbe anataka kujimilikisha nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…