Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
Habari wana JF,
Hivi ni rahisi kupata kazi serikalini kuliko private sectors? Nimetuma maombi mengi sana sekta binafsi lakini sijawahi kuitwa hata kwenye usaili. Hata hivyo, kazi nyingi nilizo-apply Serikalini nilifanikiwa kuitwa walau kwenye hatua za usaili. Japo sijafanikiwa kupata kazi mpaka sasa.
Mbaya zaidi ni kwamba sekta binafsi hata email tu hawajibu kama maombi yako yamekubaliwa au la. Unabaki unasubiri miezi na miezi.
Nina degree ya Sheria. Yeyote atakaeweza kunisaidia kupata sehemu ya kujishikiza nitashukuru sana.
[email protected]